Posted on: August 7th, 2018
Ndugu Wananchi wa Mkoa wa Dar es salaam napenda kuchukua fursa hii kuwajulisha juu ya ujio wa Ugeni wa Rais wa Uganda Mhe.Yoweri Kaguta Museveni.
Rais Museven anatarajiwa kufika nchini kwa ziara ya...
Posted on: August 5th, 2018
Mkoa wa Dar es Salaam kupitia Halmashauri zake zote umeendelea kutekeleza kwa vitendo kauli mbiu hiyo kwa kushiriki katika Maonesho ya 25 ya Nane Nane ya Mwaka 2018 Mkoani Morogoro.
Katibu Tawa...
Posted on: August 3rd, 2018
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda amemuagiza Katibu Tawala wa Mkoa huo Kuunda Timu ya kufanya ukaguzi wa Mali zote za Serikali zilizotaifishwa na wajanja ikiwemo maeneo ya wazi, Nyumba z...