Utangulizi
Wilaya ya Temeke ipo upande wa kusini wa Mkoa wa Dar es Salaam ambapo kwa upande wa mashariki inapakana na Bahari ya Hindi, kusini inapakana na Wilaya ya Mkuranga Mkoa wa Pwani na upande wa kaskazini na magharibi inapakana na Wilaya ya Ilala.
Utawala
Mkuu wa wilaya ya Temeke ni Mhe. Sixtus Mapunda
Katibu Tawala wa Wilaya ya Temeke ni
Wilaya ya Temeke ina jumla ya Tarafa 2, ambazo zinaongozwa na Maafisa Tarafa kama ifuatavyo:-
Mbagala Bibi Bertha Y. Minga
Chang'ombe Anzamen Mandari
Aidha Wilaya ya Temeke ina jumla ya Kata 23 na Mitaa 142.
Kujua zaidi kuhusu Manispaa ya Temeke, Bofya hapa
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa
Anuani ya Posta: S.L.P. 5429
Simu ya mezani: +255 22 2203158
Simu ya mkononi: +255 22 2203156
Barua pepe: ras@dsm.go.tz
Haki Miliki © 2017 - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,haki zote zimehifadhiwa