Posted on: October 15th, 2018
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda ameagiza kukamatwa kwa waliokuwa viongozi wa Soko la Kimataifa Kariakoo kwa kusababishia serikali hasara ya zaidi ya Shilingi Bilioni 1.3.
Vigogo wal...
Posted on: October 11th, 2018
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda mapema leo alfajiri amefika kituo cha Mabasi ya Mwendokasi Kimara kujionea mwenyewe adha wanayoipata abiria ambapo amewaomba abiria kuwa watulivu wakati...
Posted on: October 10th, 2018
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda amewaagiza watendaji wote wanaosimamia Usafiri wa Mabasi ya Mwendo wa haraka UDART kukutana nae kesho Alhamis Saa 12:30 Asubuhi eneo la kituo cha Mabasi...