• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Mkoa  wa Dar es Salaam

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dar es Salaam

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Muundo wa Kiutawala
  • Utawala
    • Seksheni
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Management,Monitoring and Inspection
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu
      • Industry, Trade and Investiment
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Government Communication Unit
  • Wilaya
    • Ilala
    • Kinondoni
    • Temeke
    • Ubungo
    • Kigamboni
  • Halmashauri
    • Jiji
    • Kinondoni MC
    • Temeke MC
    • Ubungo MC
    • Kigamboni MC
  • Fursa za Uwekezaji
    • Viwanda
    • Biashara
    • Utalii
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
    • Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu Mbalimbali
    • Taarifa Mbalimbali
    • Fomu ya Ahadi ya Uadilifu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
      • Bofya hapa
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio

Ubungo

Utangulizi

Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo ni moja kati ya Halmshauri za Manispaa tano zilizoko katika jiji la Dar es salaam nchini Tanzania. Mtazamo wa Halmashauri ni kuwa na jamii ambayo imewezeshwa kuendana na maendeleo ya kijamii, kiuchumi na Miundo mbinu. Malengo ya jumla ni kutoa huduma bora kwa jamii  kwa kutumia rasilimali zilizoko kwa ufanisi, na kuwajengea uwezo , utawala bora na kuheshimu utawala wa sharia ambao utaboresha maisha ya jamii, Halmashauri inajipambanua kupitia uwajibikaji na utoaji huduma kwa watu.  

Vyanzo vya Mapato vya Halmashauri  hutegemea sana ushuru na kodi mbalimbli, vyanzo vikubwa vya mapato ni pamoja na kodi za Mabango, ushuru wa huduma za jiji, leseni za Biashara na kwa upande wa serikali kuu ni kupitia ruzuku inayotolewa katika maeneo maalumu kama Afya, Elimu, na Miundombinu. Vyanzo vya mapato havitoshelezi kukidhi mahitaji ya Manispaa ya kutoa huduma nzuri na bora, Halmashauri  ya Manispaa imeweka nguvu kutoa huduma bora kwa umma na kutafuta fursa za uwekezaji.

Mahali inapopatikana

Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo imepakana na Halmashauri ya wilaya ya Kibaha kwa upande wa kaskazini, Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni kusini mashariki na Halmashuri ya wilaya ya Kisarawe upande wa magharibi. Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo imeunganishwa na Barabara nzuri na njia zingine za mawasiliano katika Jiji la Dar es Salaam na sehemu zingine za nchi . Barabara kuu zinazounganisha Halmashauri ni Barabara ya Morogoro, Barabara ya Mandela, na Barabara ya Sam Njoma.

Eneo/Idadi ya watu

Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo ina kilometa za eneo 260.40, kutokana na Sensa ya watu mwaka 2012 Manispaa ina jumla ya watu 845,368 ambapo wanaume ni 409,149 na wanawake 436,219 lakini kwa makadirio ya idadi ya watu ya mwaka 2016 Halmashauri ya Manispaa ina jumla ya watu 1,031,349 ambapo wanaume ni 499,161 na wanawake 532,188.  

Hali ya Hewa

Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo ina hali ya hewa ya kiikweta ambayo kiujumla  hali ya hewa ni ya joto na baridi kwa mwaka mzima, msimu wa joto zaidi ni mwezi wa kumi na mwezi wa tatu  lakini mwezi wa tano na wanane ni baridi.  Pia kuna misimu miwili ya mvua  ambayo ni msimu mrefu na msifu mfupi, msimu mfupi ni kuanzia mwezi wa kumi na kumi mbili, msimu mrefu ni kati ya mwezi wa tatu na watano.

Utawala

Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo ina Tarafa mbili (2)  Kibamba na  Magomeni ambapo kuna kata kumi na nne (14) na mitaa tisini na moja (91) pia Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo ina majimbo mawili ya Uchaguzi, Halmshauri kimuundo inaongozwa na baraza la madiwani  (Full Council)  ambalo lina madiwani kumi na nne (14) wa kuchaguliwa na wabunge wawili (2) wa kuchaguliwa katika Majimbo.

Kujua zaidi kuhusu  Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo, bofya hapa

Matangazo

  • FOMU YA KUHUISHA MAJUKWAA YA KUWEZESHA WANAWAKE KIUCHUMI DSM November 09, 2022
  • Matokeo ya Mtihani wa Mock Mkoa Darasa la Saba - 2020 September 02, 2020
  • Ratiba ya Mtihani wa Kumaliza Kidato cha Sita (ACSEE) - 2020 June 12, 2020
  • Matokeo ya Uchaguzi wa Wanafunzi Waliochaguliwa Kujiunga na Kidato cha Kwanza 2021 Shule za Sekondari za Serikali December 18, 2020
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • RC Makalla Masoko Mapya Yatakayojengwa Washirikishwe Machinga na Viongozi wa Soko

    March 11, 2023
  • RC Makalla Aeleza Kishindo Cha Rais Dkt Samia Suluhu Miaka 2 DSM

    March 10, 2023
  • RC Makalla Atimiza ahadi ya Kuwapeleka Viongozi wa Machinga Taifa Kigali Rwanda

    March 10, 2023
  • RC Makalla Hakuna Fremu Soko la Kariakoo Zilizogawiwa Epukeni Matapeli

    March 26, 2023
  • Tazama zote

Video

RC Makalla akikagua Maendeleo ya Ujenzi na ukarabati wa Soko la Kariakoo
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
  • Wilaya ya Ilala
  • Wilaya ya Kinondoni
  • Wilaya ya Temeke
  • Wilaya ya Ubungo
  • Wilaya ya Kigamboni

Tovuti Muhimu

  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Ofis ya Rais-Utumishi
  • Wizara ya Elimu
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti Rasmi ya Rais
  • Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa

    Anuani ya Posta: S.L.P. 5429

    Simu ya mezani: +255 22 2203158

    Simu ya mkononi: +255 22 2203156

    Barua pepe: ras@dsm.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki © 2017 - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,haki zote zimehifadhiwa