Posted on: June 12th, 2020
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda leo Juni 12 amekabidhi msaada wa Gari moja, Vitanda 600, Magodoro 600 na Mashine za kupumulia 7 kwa Manispaa ya Ilala na Kigamboni kwa ajili ya...
Posted on: April 9th, 2020
Katika kupambana na Ugonjwa wa Corona Jumuiya ya Kiislamu Ya Istiqama Tanzania Imemkabidhi Katibu Tawala wa Mkoa wa Dar es Salaam Ndugu Abubakar Kunenge kwa niaba ya Mhe. Mkuu wa Mkoa na Serikali Vifa...
Posted on: April 6th, 2020
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda amesema zoezi la kuwakamata wazururaji katika mkoa huo limeanza rasmi leo ambapo wazururaji watakaokamatwa watapewa adhabu mbalimbali ikiwemo Kusafisha ...