Kitengo hiki kina lengo la kutoa huduma ya ushauri kwa Afisa Masuuli kuhusu taratibu sahihi na zinazokubalika za usimamizi wa masuala ya fedha.
Kitengo hiki kinaongozwa na Mkaguzi Mkuu wa Ndani Sekretarieti ya Mkoa ambaye anawajibika kwa Katibu Tawala wa Mkoa.
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa
Anuani ya Posta: S.L.P. 5429
Simu ya mezani: +255 22 2203158
Simu ya mkononi: +255 22 2203156
Barua pepe: ras@dsm.go.tz
Haki Miliki © 2017 - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,haki zote zimehifadhiwa