Utangulizi
Wilaya ya Ilala imepakana na Wilaya ya Kinondoni na Temeke kwa upande wa Kaskazini na Kusini, Mkoa wa Pwani kwa upande wa Magharibi na Bahari ya Hindi katika ukanda wa Pwani wenye urefu Kilomita 10 kwa upande wa Mashariki.
Utawala
Mkuu wa Wilaya ya Ilala ni Mhe Edward Mpogolo
Katibu Tawala wa Wilaya ya Ilala ni Bi Charangwa Seleman Makwiro
Wilaya ya Ilala ina jumla ya Tarafa 3 ambazo zinaongozwa na Maafisa Tarafa kama ifuatavyo:-
Kariakoo
Ilala George Kisendi Anthony
Ukonga Adrian G. Kishe
Aidha Wilaya ya Ilala ina jumla Kata 35 na Mitaa 153
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa
Anuani ya Posta: S.L.P. 5429
Simu ya mezani: +255 22 2203158
Simu ya mkononi: +255 22 2203156
Barua pepe: ras@dsm.go.tz
Haki Miliki © 2017 - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,haki zote zimehifadhiwa