• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Mkoa  wa Dar es Salaam

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dar es Salaam

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Muundo wa Kiutawala
  • Utawala
    • Seksheni
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Management,Monitoring and Inspection
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu
      • Industry, Trade and Investiment
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Government Communication Unit
  • Wilaya
    • Ilala
    • Kinondoni
    • Temeke
    • Ubungo
    • Kigamboni
  • Halmashauri
    • Jiji
    • Kinondoni MC
    • Temeke MC
    • Ubungo MC
    • Kigamboni MC
  • Fursa za Uwekezaji
    • Muongozo wa Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
    • Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu Mbalimbali
    • Taarifa Mbalimbali
    • Fomu ya Ahadi ya Uadilifu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
      • Bofya hapa
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio

RC Chalamila Amaliza Mgogoro Uliodumu zaidi ya Miaka 15 Kariakoo

Posted on: February 17th, 2026

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe Albert Chalamila amemaliza mgogoro uliodumu kwa takriban miaka 15 katika eneo la kariakoo ukihusisha familia ya marehemu Abdallah Sultani Mtambo akiwemo aliekuwa mkewe Bi Malaya Mtambo na Salim Selemani Salim ambae alinunua nyumba  hiyo namba 12 kiwanja namba 15 kupitia mnada wa mahakama ambapo amemkabidhi Salim Selemani Salim kama mmiliki halali alieinunua nyumba hiyo kihalali

Akizungumza leo Feb 17 Jijini Dar es salaam mara baada ya kusikiliza taarifa ya kamati aliyoiunda alipotembelea nyumba hiyo mwezi januari mwaka huu RC Chalamila amesema amejiridhisha kuwa kwa mujibu wa maelekezo ya mahakama nyumba hiyo ni ya Salim Selemani Salim kwani aliinunua kisheria chini ya usimamizi wa mahakama kwa kiasi cha shilingi milioni 250 tangu mwaka 2011

Aidha RC Chalamila amesema baada ya nyumba hiyo kuuzwa kisheria baadhi ya warithi walipokea fedha hizo kutoka kwa dalali wa mahakama lakini baadhi ya warithi akiwemo Bi Malaya waligoma kuchukua fedha hiyo ambapo kiasi cha shilingi milioni 64 na laki tano ambayo hadi sasa ipo kwa dalali huyo hivyo ameelekeza dalali huyo kizikabidhi fedha hizo ziende mahakamani ali zikabidhiwe kwa wahusika kwa kuzingatia taratibu za kimahakama.

Akitoa taarifa ya kamati iliyoundwa na Mkuu wa Mkoa Mwenyekiti wa kamati hiyo ambae pia ni Mwanasheria wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Fabiola Mwingira amesema kamati imefuatilia kwa kina mgogoro huo na kubaini kuwa taratinu zote za kimahakama zilifuatwa baada ya warithi kutoelewana na mahakama kusimamia uuzwaji wa nyumba hiyo

Kwa upande wa Mkuu wa Wilaya ya Ilala Mhe Edward Mpogolo ameshukuru mgogoro kumalizika na kuahidi kushirikiana na kamati yake ya usalama kuhakikisha amani ina imarika mahali hapo

Matangazo

  • MENENDO WA BEI WIKI YA 09-13 FEBRUARI 2026 DSM February 15, 2026
  • KARIBU MAKAMU WA RAIS WA MAREKANI MHE HARRIS KAMALA March 29, 2023
  • MWENENDO WA BEI WIKI YA 1-5 DESEMBA 2025 December 01, 2025
  • MWENENDO WA BEI YA 02-06 FEBRUARI 2026 DSM February 10, 2026
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • RC Chalamila Amaliza Mgogoro Uliodumu zaidi ya Miaka 15 Kariakoo

    February 17, 2026
  • RC Chalamila Azindua Utoaji Huduma Bure za Kisheria kwa Wananchi

    February 16, 2026
  • Tamasha la IST 2026

    February 14, 2026
  • RC Chalimila Aendelea Kuchanja Mbuga Wilaya ya Kinondoni

    February 12, 2026
  • Tazama zote

Video

RC Chalamila Azindua Wiki ya Sheria DSM
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
  • Wilaya ya Ilala
  • Wilaya ya Kinondoni
  • Wilaya ya Temeke
  • Wilaya ya Ubungo
  • Wilaya ya Kigamboni

Tovuti Muhimu

  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Ofis ya Rais-Utumishi
  • Wizara ya Elimu
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti Rasmi ya Rais
  • Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa

    Anuani ya Posta: S.L.P. 5429

    Simu ya mezani: +255 22 2203158

    Simu ya mkononi: +255 22 2203156

    Barua pepe: ras@dsm.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki © 2017 - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,haki zote zimehifadhiwa