Utangulizi
Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni imepakana na Wilaya ya Bagamoyo upande wa Kaskazini, upande wa Kaskazini Mashariki inapakana na Bahari ya Hindi, upande wa Kusini inapakana na Wilaya ya Ilala, upande wa Kusini Magharibi inapakana na Wilaya ya Kisarawe na upande wa Magharibi inapakana na Wilaya ya Kibaha.
Utawala
Mkuu wa wilaya ya Kinondoni ni Mhe Saad Mtambule
Katibu Tawala wa Wilaya ya Kinondoni ni Bi. Stellah Ewald Msophe
Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni ina jumla ya Tarafa 2, ambazo zinaongozwa na Maafisa Tarafa kama ifuatavyo:-
Kinondoni
Kawe
Aidha Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni ina jumla ya Kata 20 na Mitaa 112.
kujua zaidi kuhusuu Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni Bofya hapa
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa
Anuani ya Posta: S.L.P. 5429
Simu ya mezani: +255 22 2203158
Simu ya mkononi: +255 22 2203156
Barua pepe: ras@dsm.go.tz
Haki Miliki © 2017 - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,haki zote zimehifadhiwa