Balozi wa Uingereza nchini Tanzania Bi. SARAH COOKE, amemtembelea Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. PAUL C. MAKONDA na kufanya nae mazungumzo yenye lengo la kuongeza na kuimarisha ushirikiano uliopo baina ya Jiji la Dar es Salaam na London, nchini Uingereza.
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mheshimiwa Paul C. Makonda leo 18 Mei, 2017 amezungumza na Watendaji wa Sekta ya Ardhi na Ujenzi wanaohudumu katika Manispaa za Ubungo, Kigamboni, Kinondoni, Temeke, Ilala na Halmashauri ya Jiji la Dar es salaam ambapo ametoa maelekezo 17 ya kuzingatia katika utendaji wao.
Ujio wa Viongozi Wakuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki
Haki Miliki © 2017 - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,haki zote zimehifadhiwa