Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Paul Makonda ameanza kutekeleza AHADI aliyoitoa baada ya kuteuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam alipofanya mkutano na wenyeviti wa serikali za mitaa kuhusu Kupanga Mji katika muonekano mzuri wa Jiji la biashara utakaovutia wananchi.
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mheshimiwa Paul Makonda anawatangazia Wananchi wote wa Mkoa huo kujitokeza kwa wingi kwenye Kampeni ya Upimaji wa Afya Bure kuanzia siku ya Jumatano ya Septembe 06 -10 kwenye Viwanja vya Mnazi Mmoja.
Haki Miliki © 2017 - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,haki zote zimehifadhiwa