Mafanikio ya Serikali ya Awamu ya Tano chini ya uongozi wa Mhe. Rais Dkt. John Pombe Magufuli katika Sekta ya Afya mkoa wa Dar es Salaam
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Paul Makonda ameanza kutekeleza AHADI aliyoitoa baada ya kuteuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam alipofanya mkutano na wenyeviti wa serikali za mitaa kuhusu Kupanga Mji katika muonekano mzuri wa Jiji la biashara utakaovutia wananchi.
Haki Miliki © 2017 - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,haki zote zimehifadhiwa