
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan leo Disemba 2, 2025 amekutana na kufanya mazungumzo na Wazee wa Mkoa wa Dar es Salaam katika ukumbi wa JNICC Ilala Jijini humo.
Katika mazungumzo yake Rais Dkt Samia Suluhu amezungumzia masuala mbalimbali yenye maslahi mapana kwa taifa huku akisisitiza umuhimu wa kudumisha amani, upendo na mshikamo ambapo amendelea kutoa pole kufuatia vurugu za Oktoba 29 mwaka huu na kuwahakikishia wananchi wa Tanzania amani ya nchi na rasilimali zake zitalindwa kwa gharama yoyote





Ofisi ya Mkuu wa Mkoa
Anuani ya Posta: S.L.P. 5429
Simu ya mezani: +255 22 2203158
Simu ya mkononi: +255 22 2203156
Barua pepe: ras@dsm.go.tz
Haki Miliki © 2017 - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,haki zote zimehifadhiwa