Karibu katika Tovuti ya Mkoa wa Dar es Salaam, Jiji kubwa kuliko yote Tanzania ambalo ni Kitovu cha Shughuli za Serikali za Kiutawala, Viwanda, Biashara,Utalii na Shughuli za kibenki, pia ni Makao Makuu ya Balozi za nchi na Wakala mbalimbali wa Kimataifa.
Mkoa unapakana na Mkoa wa Pwani kwa pande za Kaskazini, Magharibi na Kusini Magharibi, Bahari ya Hindi ndiyo mpaka wa Mkoa kwa upande wa Mashariki na Kusini Mashariki
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa
Anuani ya Posta: S.L.P. 5429
Simu ya mezani: +255 22 2203158
Simu ya mkononi: +255 22 2203156
Barua pepe: ras@dsm.go.tz
Haki Miliki © 2017 - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,haki zote zimehifadhiwa