• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Mkoa  wa Dar es Salaam

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dar es Salaam

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Muundo wa Kiutawala
  • Utawala
    • Seksheni
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Management,Monitoring and Inspection
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu
      • Industry, Trade and Investiment
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Government Communication Unit
  • Wilaya
    • Ilala
    • Kinondoni
    • Temeke
    • Ubungo
    • Kigamboni
  • Halmashauri
    • Jiji
    • Kinondoni MC
    • Temeke MC
    • Ubungo MC
    • Kigamboni MC
  • Fursa za Uwekezaji
    • Muongozo wa Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
    • Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu Mbalimbali
    • Taarifa Mbalimbali
    • Fomu ya Ahadi ya Uadilifu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
      • Bofya hapa
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio

DAR ES SALAAM YAENDELEA KUNG'ARA MBIO ZA MWENGE WA UHURU 2024

Posted on: May 10th, 2024

Mbio za Mwenge wa Uhuru 2024 katika Mkoa wa Dar es Salaam tayari umeshakimbizwa katika Wilaya tatu toka ukabidhiwe ndani ya Mkoa huo ambapo umetembelea, umekagua, kuweka jiwe la msingi na umezindua miradi mbalimbali ya maendeleo hadi sasa Mkoa unaendelea kufanya vizuri katika Wilaya ambazo tayari zimeshapitiwa na Mwenge huo

Katika Wilaya ya Kigamboni Mwenge wa Uhuru umekimbizwa umbali wa KM 101.5 ukipitia miradi 8 yenye thamani ya Tsh 28,398,029,772 miradi yote imepita hakuna mradi uliokataliwa.

Aidha katika Wilaya ya Kigamboni Mbio za Mwenge wa Uhuru 2024 licha ya kupitia miradi ya maendeleo umeendelea kuelimisha wananchi kupitia Ujumbe wa mwaka huu wa " Uhifadhi wa Mazingira na Uchaguzi wa Serikali za Mitaa" pia Ujumbe wa kudumu wa Mbio za Mwenge wa Uhuru katika mapambano dhidi ya  VVU/UKIMWI, Malaria, Dawa za Kulevya, Lishe pamoja na Rushwa.

Sanjari na hilo miradi iliyopitiwa na Mbio za Mwenge wa Uhuru Wilaya ya Kigamboni ni Mradi wa Uhifadhi wa Mazingira na maeneo tengefu ya misitu  ya mikoko, Maradi wa Ujenzi wa jengo la matibabu ya wagonjwa wa kifua kikuu (MDR-TB), Ujenzi wa Barabara ya Chagani-Polisi KM 0.7 kiwango cha lami, Mradi wa Chuo cha maendeleo ya wananchi Kigamboni, Mradi wa Ujenzi wa Machinjio ya Kisasa, Mradi wa kikundi cha wachapatoyo, mradi wa maji Kisarawe II kupitia visima virefu na Mradi wa Shule mpya ya Sekondari Lingato.

Mbio za Mwenge wa Uhuru 2024 Mei 11, 2024 zinaendelea kukimbizwa Katika Wilaya ya Kinondoni ambapo miradi mbalimbali ya maendeleo itapitiwa na Mwenge huo

Matangazo

  • MATOKEO YA MTIHANI WA UTAMILIFU (MOCK) MKOA WA DARASA LA SABA - 2024 July 05, 2024
  • KARIBU MAKAMU WA RAIS WA MAREKANI MHE HARRIS KAMALA March 29, 2023
  • KARIBU MWENGE WA UHURU 2023 May 24, 2023
  • Matokeo ya Mtihani wa Mock Mkoa Darasa la Saba - 2020 September 02, 2020
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • RC Chalamila Ataka Machinga Kariakoo Kufungua Njia

    May 28, 2025
  • CHALAMILA SERIKALI INATAMBUA NA KUTHAMINI KAZI YA UUGUZI

    May 23, 2025
  • Mchengerwa: Maafisa Habari Hakikisheni Wanachi Wanapata Habari Sahihi

    May 23, 2025
  • RC Chalamila Akabidhi Magari Mapya Mawili (2)-DSM

    May 20, 2025
  • Tazama zote

Video

RC Chalamila Azindua Wiki ya Sheria DSM
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
  • Wilaya ya Ilala
  • Wilaya ya Kinondoni
  • Wilaya ya Temeke
  • Wilaya ya Ubungo
  • Wilaya ya Kigamboni

Tovuti Muhimu

  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Ofis ya Rais-Utumishi
  • Wizara ya Elimu
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti Rasmi ya Rais
  • Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa

    Anuani ya Posta: S.L.P. 5429

    Simu ya mezani: +255 22 2203158

    Simu ya mkononi: +255 22 2203156

    Barua pepe: ras@dsm.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki © 2017 - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,haki zote zimehifadhiwa