• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Mkoa  wa Dar es Salaam

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dar es Salaam

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Muundo wa Kiutawala
  • Utawala
    • Seksheni
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Management,Monitoring and Inspection
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu
      • Industry, Trade and Investiment
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Government Communication Unit
  • Wilaya
    • Ilala
    • Kinondoni
    • Temeke
    • Ubungo
    • Kigamboni
  • Halmashauri
    • Jiji
    • Kinondoni MC
    • Temeke MC
    • Ubungo MC
    • Kigamboni MC
  • Fursa za Uwekezaji
    • Muongozo wa Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
    • Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu Mbalimbali
    • Taarifa Mbalimbali
    • Fomu ya Ahadi ya Uadilifu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
      • Bofya hapa
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio

Wabunge wa Bunge la Taifa Korea Watembelea Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam.

Posted on: August 12th, 2025

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila leo Agosti 12, 2025 amewapokea  waheshimiwa wabunge wa Bunge la Taifa Korea ofisini kwake Jijini Dar es Salaam.

Waheshimishwa wabunge kutoka Bunge la Korea ambao wametembelea ofisi ya Mkuu wa Mkoa na kupata wasaa wa kufanya mazungumzo na Mhe Mkuu wa Mkoa ni Mhe Lee Jae Jung, Mhe Kim Hyung Dong, Mhe Boo Seung Chan na Mhe Lee Bang Woo.

Akiongea baada ya kuwapokea wageni hao ofisini kwake Ilala Boma  RC Chalamila amesema Mkoa unajivunia kuwa mwenyeji wa miradi mikubwa inayotokana na ushirikiano wa kirafiki kati ya mataifa yetu mawili aidha nipende kugusia baadhi ya miradi mikuu chini ya mfuko wa ushirikiano  wa maendeleo  ya kiuchumi  EDCF wa Korea pamoja na fursa mpya za ushirikiano zaidi kwa mfano ujenzi wa Hospitali ya Mloganzila, mradi ambao ulifadhiliwa na Benk ya Exim ya Korea kupitia mkopo nafuu, mradi wa daraja la Tanzanite, Kituo cha Taifa cha hifadhi ya Taarifa za Vitambulisho.

Vilevile Korea imekuwa ikifadhili sekta mbalimbali kama Ujenzi, Usafirishaji bandarini, Mazingira, Usimamizi wa taka, na ujenzi wa uwezo, pia makampuni kutoka Korea yamesaidia sana katika miradi ya DMDP,  Mfumo wa mabasi yaendayo haraka BRT, na madaraja makubwa.

Kwa upande wa Katibu Tawala wa Mkoa wa Dar es Salaam  Ndg Abdul Mhite amesema Mkoa huo umebarikiwa kuwa na fursa nyingi za kimaendeleo hivyo kwa niaba ya Serikali na wananchi anawakaribisha sana waheshimiwa wabunge kutoka Jamhuri ya Korea ambapo ameomba mashirikiano baina ya pande zote mbili yaendee  kudumu kwa masilahi mapana ya wananchi wa Tanzania na Korea.

Mwisho, Mhe Mkuu wa Mkoa amepongeza kwa utaalamu wao, uwekezaji wao na urafiki wa dhati, ambapo ametoa rai kuendeleza msingi huo wa ushirikiano ili kujenga maisha ya baadaye yaliyojaa ubunifu, ujumuishi, na manufaa ya pande zote mbili Tanzania na Korea.

Matangazo

  • DIRA YA TAIFA YA MAENDELEO 2050 July 17, 2025
  • MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA WA DARASA LA SABA MEI, 2025 July 18, 2025
  • KARIBU MAKAMU WA RAIS WA MAREKANI MHE HARRIS KAMALA March 29, 2023
  • KARIBU MWENGE WA UHURU 2023 May 24, 2023
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • Wabunge wa Bunge la Taifa Korea Watembelea Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam.

    August 12, 2025
  • RC Chalamila Atembelea na Kukagua Mabanda ya Maonesho ya Nanenane Kanda ya Mashariki 2025

    August 06, 2025
  • RC Chalamila Aaga Mwili wa Mzee Peter Partson Makakala.

    August 05, 2025
  • Uzinduzi wa Kituo cha Biashara na Usafirishaji Afrika Mashariki-EACLC

    August 01, 2025
  • Tazama zote

Video

RC Chalamila Azindua Wiki ya Sheria DSM
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
  • Wilaya ya Ilala
  • Wilaya ya Kinondoni
  • Wilaya ya Temeke
  • Wilaya ya Ubungo
  • Wilaya ya Kigamboni

Tovuti Muhimu

  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Ofis ya Rais-Utumishi
  • Wizara ya Elimu
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti Rasmi ya Rais
  • Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa

    Anuani ya Posta: S.L.P. 5429

    Simu ya mezani: +255 22 2203158

    Simu ya mkononi: +255 22 2203156

    Barua pepe: ras@dsm.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki © 2017 - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,haki zote zimehifadhiwa