• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Mkoa  wa Dar es Salaam

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dar es Salaam

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Muundo wa Kiutawala
  • Utawala
    • Seksheni
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Management,Monitoring and Inspection
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu
      • Industry, Trade and Investiment
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Government Communication Unit
  • Wilaya
    • Ilala
    • Kinondoni
    • Temeke
    • Ubungo
    • Kigamboni
  • Halmashauri
    • Jiji
    • Kinondoni MC
    • Temeke MC
    • Ubungo MC
    • Kigamboni MC
  • Fursa za Uwekezaji
    • Muongozo wa Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
    • Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu Mbalimbali
    • Taarifa Mbalimbali
    • Fomu ya Ahadi ya Uadilifu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
      • Bofya hapa
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio

RC Makonda Awahimiza Wananchi Kujipatia Bima ya Afya Ili Kujihakikishia Maisha Bora

Posted on: January 10th, 2019

Mkoa wa Dar es salaam umetekeleza maelekezo ya Rais Dkt. John Magufuli ya kuanzisha Bima ya Afya ya Wananchi ambayo inawawezesha wafanyakazi walio kwenye Sekta isiyo rasmi kupata huduma za matibabu ya uhakika mwaka mzima kwa gharama sawa na Bure.

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda amesema Bima hiyo itawawezesha wananchi wakiwemo wamachinga, bodaboda, mama Lishe, Baamedi, wavuzi, wakaanga chipsi, Vinyozi na wengineo kupata matibabu kwa gharama ya Shilingi 150,000 kwa familia ya watu 6 ambayo ni sawa na Shilingi 25,000 kwa kila kichwa huku kwa mtu asie na familia akihitajika kutoa 40,000 pekee kwa mwaka mzima. 

RC Makonda amesema wananchi wengi wamejikuta wakiingia kwenye umasikini kwa kuuza Mali walizozitafuta kwa tabu  ikiwemo Viwanja, Nyumba, mashamba, gari, pikipiki au kupitisha michango ili waweze kugharamia matibabu lakini kupitia bima hii itawezesha familia kupata matibabu kwa gharama nafuu kabisa kwenye hospital na kituo chochote cha Afya cha serikali mkoani humo. 

"Tumeshuhudia watu wengi wakijikuta maskini baada ya kuugua, unakuta familia anaumwa baba, mama na watoto sasa ukipigia mahesabu gharama za matibabu wanatumia zaidi ya laki tano kwa wakati mmoja, lakini wangekuwa na Kadi ya Bima wangepata matibabu na kuokoa gharama zote hizo, niwasii Sana sana wananchi wajikatie Bima hii ya Wananchi,huu Ndio ukombozi " Alisema RC Makonda. 

Pamoja na hayo RC Makonda amewahimiza viongozi wa Dini na mitandao ya kijamii kuelimisha jamii kuhusu umuhimu wa Bima ya Afya ya Wananchi.

DAR ES SALAAM HATUTAKI KUONA UGONJWA UNAMFANYA MTU KUWA MASKINI, TUMIA BIMA YA AFYA YA WANANCHI KWA UHAKIKA WA MATIBABU.

Matangazo

  • MATOKEO YA MTIHANI WA UTAMILIFU (MOCK) MKOA WA DARASA LA SABA - 2024 July 05, 2024
  • KARIBU MAKAMU WA RAIS WA MAREKANI MHE HARRIS KAMALA March 29, 2023
  • KARIBU MWENGE WA UHURU 2023 May 24, 2023
  • Matokeo ya Mtihani wa Mock Mkoa Darasa la Saba - 2020 September 02, 2020
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • RC Chalamila: Miradi 36 yenye Thamani ya Tsh 79,255,160,719.44 Kupitiwa na Mwenge wa Uhuru Dar

    June 01, 2025
  • RC Chalamila Ataka Machinga Kariakoo Kufungua Njia

    May 28, 2025
  • CHALAMILA SERIKALI INATAMBUA NA KUTHAMINI KAZI YA UUGUZI

    May 23, 2025
  • Mchengerwa: Maafisa Habari Hakikisheni Wanachi Wanapata Habari Sahihi

    May 23, 2025
  • Tazama zote

Video

RC Chalamila Azindua Wiki ya Sheria DSM
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
  • Wilaya ya Ilala
  • Wilaya ya Kinondoni
  • Wilaya ya Temeke
  • Wilaya ya Ubungo
  • Wilaya ya Kigamboni

Tovuti Muhimu

  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Ofis ya Rais-Utumishi
  • Wizara ya Elimu
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti Rasmi ya Rais
  • Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa

    Anuani ya Posta: S.L.P. 5429

    Simu ya mezani: +255 22 2203158

    Simu ya mkononi: +255 22 2203156

    Barua pepe: ras@dsm.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki © 2017 - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,haki zote zimehifadhiwa