• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Mkoa  wa Dar es Salaam

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dar es Salaam

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Muundo wa Kiutawala
  • Utawala
    • Seksheni
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Maji
      • Elimu
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
  • Wilaya
    • Ilala
    • Kinondoni
    • Temeke
    • Ubungo
    • Kigamboni
  • Halmashauri
    • Jiji
    • Kinondoni MC
    • Temeke MC
    • Ubungo MC
    • Kigamboni MC
  • Fursa za Uwekezaji
    • Viwanda
    • Biashara
    • Utalii
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
    • Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu Mbalimbali
    • Taarifa Mbalimbali
    • Fomu ya Ahadi ya Uadilifu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
      • Bofya hapa
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio

RC Makalla "Serikali na Machinga Karume Mambo Safi"

Posted on: January 18th, 2022

-Akutana na kufanya mazungumzo na kamati ya Uongozi wa Wafanyabiashara wa Soko la Karume

- Asema Serikali haina nia yoyote mbaya na wafanyabiashara hao

-Atoa Rai Wafanyabiashara kuendeleza Usalama na Utulivu katika Kipindi cha Siku 7 za Uchunguzi

-Awahakikishia hakuna mwekezaji atapatiwa Soko la Karume

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Amos Makalla leo Januari 18,2022 amefanya kikao na Kamati ya Uongozi wa wafanyabiashara wa Soko la Karume Ofisi kwake Ilala boma - Dar es Salaam.

RC Makalla amesema amekuwa na kikao kizuri cha kuelezana hatima ya Soko lao kufuatia Janga la Moto uliotokea usiku wa kuamkia Jumapili tarehe 16/01/2022

Mkuu wa Mkoa amewapongeza na kuwashukuru kwa mazungumzo na maelewano  baina yao na Serikali akisema Serikali ya awamu ya sita chini ya Mhe Samia Suluhu Hassan inawapenda wafanyabiashara na siku zote dhamira ya Serikali ni kuendelea kuwalea.

" Niseme Serikali haina nia yoyote mbaya na wafanyabiashara wa Soko la Karume niwaombe kuendeleza Usalama na utulivu ndani ya siku 7 za Uchunguzi" Alisema RC Makalla

Aidha RC Makalla ameihakikishia Kamati hiyo Serikali haina mpango wowote wa kumpatia Mwekezaji Soko hilo zaidi Serikali inataka kuona wafanyabiashara wanaendelea kufanya biashara zao maisha yaendelee

RC Makalla amesema kamati itafanya kazi yake  kuchunguza mali zilizopotea, chanzo cha Janga hilo la Moto, hatimaye wale wote wailiokuwepo awali wataendelea na biashara zao.

Kwa Upande wa mmoja wa Viongozi wa kamati ya Uongozi ya wafanyabiashara wa Soko la Karume Bi Agusta G Mbata amesema anamshukuru sana RC Makalla kwa Kikao hicho yeye kwa niaba ya wenzake wanaungana na Serikali, wataendelea kupokea maelekezo kwa kuwa wana imani nayo ambapo amesema yeye ni mjane na yuko katika Soko hilo kwa zaidi ya miaka 20 kwa hiyo Kikao cha leo na Mkuu wa Mkoa kimempa faraja kubwa

Matangazo

  • RATIBA YA KAZI YA MHE. RC MAKALLA KUANZIA 20 - 26 APRIL,2022 April 20, 2022
  • Matokeo ya Mtihani wa Utamilifu (Mock) Mkoa wa Darasa la Saba - 2021 July 30, 2021
  • TAARIFA KWA UMMA BEI ELEKEZI YA MBOLEA March 30, 2022
  • Matokeo ya Mtihani wa Mock Mkoa Darasa la Saba - 2020 September 02, 2020
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • Dar es Salaam Yaadhimisha Siku ya Wauguzi Duniani

    May 24, 2022
  • DC Ilala Ataka Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Kuchukua Hatua kwa Wanaokaidi Maelekezo Wanayoyatoa

    May 19, 2022
  • "Dar es Salaam Mmefanya Vizuri Oparesheni ya Anwani za Makazi na Postikodi" Waziri Nape

    May 18, 2022
  • RC Makalla Apokea Kero zaJumuiya ya Wafanyabiashara Dar es Salaam.

    May 16, 2022
  • Tazama zote

Video

Maelekezo ya RC Makalla juu ya Mapambano dhidi ya majanga ya moto katika masoko DSM.
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
  • Wilaya ya Ilala
  • Wilaya ya Kinondoni
  • Wilaya ya Temeke
  • Wilaya ya Ubungo
  • Wilaya ya Kigamboni

Tovuti Muhimu

  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Ofis ya Rais-Utumishi
  • Wizara ya Elimu
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti Rasmi ya Rais
  • Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa

    Anuani ya Posta: S.L.P. 5429

    Simu ya mezani: +255 22 2203158

    Simu ya mkononi: +255 22 2203156

    Barua pepe: ras@dsm.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki © 2017 - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,haki zote zimehifadhiwa