• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Mkoa  wa Dar es Salaam

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dar es Salaam

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Muundo wa Kiutawala
  • Utawala
    • Seksheni
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Management,Monitoring and Inspection
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu
      • Industry, Trade and Investiment
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Government Communication Unit
  • Wilaya
    • Ilala
    • Kinondoni
    • Temeke
    • Ubungo
    • Kigamboni
  • Halmashauri
    • Jiji
    • Kinondoni MC
    • Temeke MC
    • Ubungo MC
    • Kigamboni MC
  • Fursa za Uwekezaji
    • Muongozo wa Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
    • Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu Mbalimbali
    • Taarifa Mbalimbali
    • Fomu ya Ahadi ya Uadilifu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
      • Bofya hapa
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio

RC Makalla Hakuna Shule Iliyouzwa Kurasini, Aagiza CAG Kufanya Ukaguzi Maalum Mikopo ya Asilimia 10

Posted on: February 17th, 2022

 

- Asema kuhusu shule kuuzwa ni maombi yaliyowasilishwa ili yajadiliwe na bodi ya shule, kata, wilaya, mkoa mpaka Taifa.

- Kuhusu mikopo ameagiza CAG afanye ukaguzi maalumu ili kujua mwenendo wa utoaji mikopo Na marejesho.

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Amos Makalla leo amemaliza Hali ya *taharuki juu ya uvumi wa taarifa zilizodaiwa kuwa eneo la Shule ya Sekondari Kurasini linauzwa kwa Mwekezaji ambapo amethibitisha kuwa eneo Hilo haliuzwi.

RC Makalla amesema ni kweli kuwa Mwekezaji alituma *Maombi ya kupatiwa eneo* Hilo la Shule na kuahidi kujenga shule nyingine eneo la Mbagala lakini Serikali haikuridhia ombi hilo.

Akizungumza wakati wa kikao Cha pamoja kilichojumuisha Kamati ya Ulinzi na usalama Wilaya ya Temeke, Baraza la Madiwani, Viongozi wa CCM Wilaya,  RC Makalla amesema mchakato wa kuuza Eneo la Shule sio rahisi kwakuwa ni lazima Maombi yaanze ngazi ya Kata, Wilaya, Mkoa Kisha Mkoa upeleke Wizarani na Wizara iwasilishe ngazi ya juu.

Kutokana na hilo RC Makalla amesema amejiridhisha pasipokuwa na shaka kuwa eneo Hilo haliuzwi* na Halmashauri haina uwezo wa kufanya mauzo ya namna hiyo.

Aidha RC Makalla amesema Kikao hicho pia kimepitia taarifa ya Kamati iliyoundwa kupitia dosari zizojitokeza kwenye zoezi la utoaji wa fedha za mikopo ya Asilimia 10 ya Halmashauri ya Temeke kwa Vikundi vya ujasiriamali ambapo ametangaza kuunda upya Kamati ya kufuatilia kwa kina suala Hilo ili itoe taarifa sahihi.

Kikao hicho pia kimejadili ajenda ya kufanikisha *Zoezi la anuani za Makazi na Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2022 pamoja na mapokezi ya *Rais Samia Suluhu Hassan siku ya Jumapil ya Februari 20.

Matangazo

  • MATOKEO YA MTIHANI WA UTAMILIFU (MOCK) MKOA WA DARASA LA SABA - 2024 July 05, 2024
  • KARIBU MAKAMU WA RAIS WA MAREKANI MHE HARRIS KAMALA March 29, 2023
  • KARIBU MWENGE WA UHURU 2023 May 24, 2023
  • Matokeo ya Mtihani wa Mock Mkoa Darasa la Saba - 2020 September 02, 2020
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • Temeke Yang'ara Mwenge wa Uhuru 2025

    June 02, 2025
  • RC Chalamila: Miradi 36 yenye Thamani ya Tsh 79,255,160,719.44 Kupitiwa na Mwenge wa Uhuru Dar

    June 01, 2025
  • RC Chalamila Ataka Machinga Kariakoo Kufungua Njia

    May 28, 2025
  • CHALAMILA SERIKALI INATAMBUA NA KUTHAMINI KAZI YA UUGUZI

    May 23, 2025
  • Tazama zote

Video

RC Chalamila Azindua Wiki ya Sheria DSM
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
  • Wilaya ya Ilala
  • Wilaya ya Kinondoni
  • Wilaya ya Temeke
  • Wilaya ya Ubungo
  • Wilaya ya Kigamboni

Tovuti Muhimu

  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Ofis ya Rais-Utumishi
  • Wizara ya Elimu
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti Rasmi ya Rais
  • Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa

    Anuani ya Posta: S.L.P. 5429

    Simu ya mezani: +255 22 2203158

    Simu ya mkononi: +255 22 2203156

    Barua pepe: ras@dsm.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki © 2017 - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,haki zote zimehifadhiwa