• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Mkoa  wa Dar es Salaam

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dar es Salaam

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Muundo wa Kiutawala
  • Utawala
    • Seksheni
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Management,Monitoring and Inspection
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu
      • Industry, Trade and Investiment
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Government Communication Unit
  • Wilaya
    • Ilala
    • Kinondoni
    • Temeke
    • Ubungo
    • Kigamboni
  • Halmashauri
    • Jiji
    • Kinondoni MC
    • Temeke MC
    • Ubungo MC
    • Kigamboni MC
  • Fursa za Uwekezaji
    • Muongozo wa Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
    • Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu Mbalimbali
    • Taarifa Mbalimbali
    • Fomu ya Ahadi ya Uadilifu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
      • Bofya hapa
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio

RC MAKALLA ATOA TAMKO KATIKA UTIAJI SAINI MIKATABA YENYE THAMANI ZAIDI YA BILIONI 14

Posted on: August 10th, 2021

Mhe Amos Makalla akimkabidhi kablasha la mkataba mmoja wa kandarasi mzawa mara baada ya kusaini mapema leo.

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Amos Makalla ameshuhudia utiaji saini wa *mikataba takribani 41 kati ya TARURA na wakandarasi wazawa* 38 ya kutengeneza barabara na mitatu (3) ya miradi ya Maendeleo katika Mkoa wa Dar es Salaam.

Tukio hilo la kusaini Mikataba yenye thamani ya zaidi ya *bilioni 14* limefanyika leo katika ukumbi wa DMDP Ilala mbele ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam.

Akiongea wakati wa hafla hiyo *Mhe Amos Makala* kwanza kabisa ametoa Shukrani kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania *Mhe Samia Suluhu Hassan*  kwa kuongeza kiasi cha fedha kutoka bilioni 21 hadi bilioni 40 kwa TARURA Mkoa wa Dar es Salaam.

Aidha amewataka wakandarasi ambao wamesaini mikataba leo kuifanya kazi hiyo *katika viwango, kwa wakati na kuzingatia thamani ya fedha* " Value for money"

"Mkifanya kazi vizuri katika awamu hii ya kwanza inawapa sifa ya kupata kazi awamu ya pili na mhandisi wa TARURA ameshasema utekelezaji wa kazi hii ni kwa awamu tatu" Alisema *Mhe Makalla*

Vilevile amewataka *TANESCO, TAN ROAD, DAWASA* kufanya kazi kwa pamoja pale TARURA wanapotekeleza miradi katika maeneo mbalimbali ndani ya Mkoa.

Pia amewataka kuzitunza barabara zinazojengwa katika Mkoa ikiwemo kuweka alama za barabarani kwa mfano  sehemu ya watembea kwa miguu ijulikane, sehemu ambayo sio ya kupaki iwekwe ijulikane pia hili litasaidia wananchi kutotozwa faini za "wrong Parking" zisizo za lazima

Mhe Mkuu wa Mkoa pia ametoa onyo kali kwa vikampuni hewa vya kukusanya tozo au faini za "wrong Parking" kuacha mara moja kwa kuwa mamlaka husika zipo zinazotakiwa kufanya kazi hiyo.


Matangazo

  • MATOKEO YA MTIHANI WA UTAMILIFU (MOCK) MKOA WA DARASA LA SABA - 2024 July 05, 2024
  • KARIBU MAKAMU WA RAIS WA MAREKANI MHE HARRIS KAMALA March 29, 2023
  • KARIBU MWENGE WA UHURU 2023 May 24, 2023
  • Matokeo ya Mtihani wa Mock Mkoa Darasa la Saba - 2020 September 02, 2020
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • RC Chalamila Ataka Machinga Kariakoo Kufungua Njia

    May 28, 2025
  • CHALAMILA SERIKALI INATAMBUA NA KUTHAMINI KAZI YA UUGUZI

    May 23, 2025
  • Mchengerwa: Maafisa Habari Hakikisheni Wanachi Wanapata Habari Sahihi

    May 23, 2025
  • RC Chalamila Akabidhi Magari Mapya Mawili (2)-DSM

    May 20, 2025
  • Tazama zote

Video

RC Chalamila Azindua Wiki ya Sheria DSM
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
  • Wilaya ya Ilala
  • Wilaya ya Kinondoni
  • Wilaya ya Temeke
  • Wilaya ya Ubungo
  • Wilaya ya Kigamboni

Tovuti Muhimu

  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Ofis ya Rais-Utumishi
  • Wizara ya Elimu
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti Rasmi ya Rais
  • Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa

    Anuani ya Posta: S.L.P. 5429

    Simu ya mezani: +255 22 2203158

    Simu ya mkononi: +255 22 2203156

    Barua pepe: ras@dsm.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki © 2017 - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,haki zote zimehifadhiwa