• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Mkoa  wa Dar es Salaam

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dar es Salaam

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Muundo wa Kiutawala
  • Utawala
    • Seksheni
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Management,Monitoring and Inspection
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu
      • Industry, Trade and Investiment
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Government Communication Unit
  • Wilaya
    • Ilala
    • Kinondoni
    • Temeke
    • Ubungo
    • Kigamboni
  • Halmashauri
    • Jiji
    • Kinondoni MC
    • Temeke MC
    • Ubungo MC
    • Kigamboni MC
  • Fursa za Uwekezaji
    • Muongozo wa Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
    • Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu Mbalimbali
    • Taarifa Mbalimbali
    • Fomu ya Ahadi ya Uadilifu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
      • Bofya hapa
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio

RC Makalla Akutana na Watendaji Wakuu TANESCO, DAWASA, TANROAD na TARURA

Posted on: March 9th, 2022

 

-Awataka kuendelea kuchapa kazi kwa masilahi mapana ya Wananchi hususani wakazi wa DSM

-Apongeza namna miradi inavyotekelezwa DSM Ataka TANROAD kuangalia namna bora ya kutekeleza miradi pasipo kuwepo kwa KERO za foleni au kufunga kwa baadhi ya Barabara

- Asisitiza TANESCO kuboresha huduma maeneo ya pembezoni na na Utoaji taarifa kwa umma

-Aendelea kutoa wito Taasisi za Umma kusimamia USAFI na kuyalinda maeneo yao dhidi ya biashara holela

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Amos Makalla leo Machi 09, 2022 amekutana na Watendaji wakuu wa TANROAD, TANESCO, DAWASA  na TARURA na kufanya nao kikao kazi katika Ofisi yake Ilala- Dar Es Salaam.

RC Makalla amewataka kuendelea kuchapa kazi kwa kuwa Taasisi zao zinagusa maisha ya Wananchi moja kwa moja, licha yakuwa wamekua wakifanya kazi vizuri wanatakiwa kuongeza jitihada ili kuleta ufanisi zaidi.

Mkuu wa Mkoa amegusia maeneo ambayo yamekuwa na Changamoto kwa mfano TANROAD katika Utekelezaji wa miradi hasa ya Mwendokasi kumekuwa na malalamiko ya foleni lakini pia kufungwa kwa Barabara nyakati fulani hali inayopelekea kudidimiza shughuli zingine za kiuchumi, hivyo ni wajibu wa Viongozi husika kulifanyia kazi jambo hilo ikiwezekana baadhi ya shughuli za Ujenzi wa Barabara zifanyike usiku.

Aidha RC Makalla amewataka TANESCO kuboresha Utoaji wa huduma za umeme hasa maeneo ya pembezoni mwa Mkoa wa DSM kwa mfano chanika, Vilevile waimarishe mifumo ya Mawasiliano kwa Umma ikiwemo Utoaji taarifa kwa wateja pale kunapokuwa na Changamoto ili wananchi wajue.

Hata hivyo RC Makalla amewataka DAWASA na TARURA kuainisha miradi mipya inayotekelezwa katika maeneo mbalimbali ya Mkoa ili aweze kutembelea kuona namna miradi hiyo inavyotekelezwa.

Sambamba na hilo Mhe Makalla amezitaka Taasisi hizo kuendelea kusimamia USAFI ikiwemo kuyalinda maeneo yao, amesisitiza kwa muda mfupi tumeona matokeo Jiji la DSM limekuwa la sita Afrika kwa Usafi hivyo uwezekano wa kufanya Vizuri zaidi upo kama kila mmoja atashiriki kwa nafasi yake "SAFISHA PENDEZESHA DAR ES SALAAM"  Usafi ni Mimi na wewe.

Kikao kazi hicho kimehudhuriwa na Wataalam kutoka Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wakiongozwa na Katibu Tawala wa Mkoa Ndg Hassan Rugwa pamoja Wakuu wa Taasisi DAWASA TANROAD TANESCO na TARURA






Matangazo

  • DIRA YA TAIFA YA MAENDELEO 2050 July 17, 2025
  • MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA WA DARASA LA SABA MEI, 2025 July 18, 2025
  • KARIBU MAKAMU WA RAIS WA MAREKANI MHE HARRIS KAMALA March 29, 2023
  • KARIBU MWENGE WA UHURU 2023 May 24, 2023
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • RC CHALAMILA ATANGAZA ZAWADI NONO KWA TAIFA STARS

    August 22, 2025
  • RC CHALAMILA AZINDUA MFUMO WA USAMBAZAJI GAS YA ORYX KATIKA SOKO LA FERRY

    August 21, 2025
  • RAS MHINTE ASISITIZA MAMBO MATATU KUZINGATIWA NA SEKRETARIETI YA MKOA, WAKURUGENZI NA WAKUU WA SEHEMU NA VITENGO WA HALMASHAURI

    August 18, 2025
  • Halmashauri Dar, Zatakiwa Kutumia Jeshi la Akiba.

    August 15, 2025
  • Tazama zote

Video

RC Chalamila Azindua Wiki ya Sheria DSM
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
  • Wilaya ya Ilala
  • Wilaya ya Kinondoni
  • Wilaya ya Temeke
  • Wilaya ya Ubungo
  • Wilaya ya Kigamboni

Tovuti Muhimu

  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Ofis ya Rais-Utumishi
  • Wizara ya Elimu
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti Rasmi ya Rais
  • Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa

    Anuani ya Posta: S.L.P. 5429

    Simu ya mezani: +255 22 2203158

    Simu ya mkononi: +255 22 2203156

    Barua pepe: ras@dsm.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki © 2017 - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,haki zote zimehifadhiwa