• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Mkoa  wa Dar es Salaam

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dar es Salaam

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Muundo wa Kiutawala
  • Utawala
    • Seksheni
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Management,Monitoring and Inspection
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu
      • Industry, Trade and Investiment
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Government Communication Unit
  • Wilaya
    • Ilala
    • Kinondoni
    • Temeke
    • Ubungo
    • Kigamboni
  • Halmashauri
    • Jiji
    • Kinondoni MC
    • Temeke MC
    • Ubungo MC
    • Kigamboni MC
  • Fursa za Uwekezaji
    • Muongozo wa Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
    • Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu Mbalimbali
    • Taarifa Mbalimbali
    • Fomu ya Ahadi ya Uadilifu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
      • Bofya hapa
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio

RC Makalla Afunga Mafunzo ya Vijana 628 wa Jeshi la Akiba DSM

Posted on: November 5th, 2021

 

- Aelekeza vijana hao kuripoti katika Wilaya za Mkoa wa DSM wapatiwe majukumu ya Ulinzi Katika MITAA na KATA

- Aahidi kupeleka maombi katika mamlaka husika ili waliohitimu mgambo iwe moja ya sifa ya kupata ajira Jeshini

- Ataka Vijana Kushirikiana na Jamii katika Ulinzi na Usalama

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Amos Makalla leo Novemba 5, 2021 amefunga Mafunzo ya kuhitimu kwa Askari 628 wa Jeshi la Akiba mkoani humo na kutoa wito kwa Vijana hao wa Mgambo kujituma kufanya kazi kwa bidii na weledi pia kuwa Viherehere wa kutoa taarifa mapema pindi wanapobaini viashiria vya uhalifu ili   Kuimarisha ulinzi na usalama ndani ya Mkoa

Akizungumza wakati wa kufunga mafunzo hayo Mhe Makalla amewaelekeza Wahitimu hao kufika ofisi za *Wakuu wa Wilaya na Wakurugenzi ili wapangiwe shughuli za ulinzi kwenye kila ofisi za Mtendaji wa Mitaa ikiwa ni utekelezaji wa maelekezo aliyotoa ya kila Ofisi ya Mtaa kuwa na Askari Mgambo Kufuatia kuuwawa kwa Mtendaji wa Mitaa wa Msumi.

Aidha Mhe Makalla ametoa wito kwa Vyombo vya ulinzi na usalama kuongeza kipengele Cha kuhitimu wa Mafunzo ya Mgambo kuwa moja ya sifa za kujiunga na Jeshi la Polisi, Uhamihaji, Zimamoto na Magereza tofauti na Sasa ambapo kigezo Ni kupitia mafunzo ya JKT pekee.

Katika Mafunzo ya hayo, Askari Mgambo wamepata elimu mbalimbali ikiwemo Ukakamavu, Mbinu za kivita, Zimamoto, Uhamihaji, TAKUKURU, Usalama wa Taifa na mbinu nyinginezo za Kudhibiti uhalifu.


Matangazo

  • MATOKEO YA MTIHANI WA UTAMILIFU (MOCK) MKOA WA DARASA LA SABA - 2024 July 05, 2024
  • KARIBU MAKAMU WA RAIS WA MAREKANI MHE HARRIS KAMALA March 29, 2023
  • KARIBU MWENGE WA UHURU 2023 May 24, 2023
  • Matokeo ya Mtihani wa Mock Mkoa Darasa la Saba - 2020 September 02, 2020
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • RC Chalamila Akabidhi Magari Mapya Mawili (2)-DSM

    May 20, 2025
  • Rais wa Finland Alexander Stubb Atembelea Machinga Complex - DSM

    May 16, 2025
  • RAS Nguvila Atoa Maagizo 14 kwa Wakurugenzi wa Halmashauri za Mkoa wa Dar es Salaam

    May 16, 2025
  • Waziri Mkuu Mhe Kassim Majaliwa akiwasili NIDC-Kijitonyama

    May 15, 2025
  • Tazama zote

Video

RC Chalamila Azindua Wiki ya Sheria DSM
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
  • Wilaya ya Ilala
  • Wilaya ya Kinondoni
  • Wilaya ya Temeke
  • Wilaya ya Ubungo
  • Wilaya ya Kigamboni

Tovuti Muhimu

  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Ofis ya Rais-Utumishi
  • Wizara ya Elimu
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti Rasmi ya Rais
  • Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa

    Anuani ya Posta: S.L.P. 5429

    Simu ya mezani: +255 22 2203158

    Simu ya mkononi: +255 22 2203156

    Barua pepe: ras@dsm.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki © 2017 - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,haki zote zimehifadhiwa