• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Mkoa  wa Dar es Salaam

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dar es Salaam

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Muundo wa Kiutawala
  • Utawala
    • Seksheni
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Management,Monitoring and Inspection
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu
      • Industry, Trade and Investiment
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Government Communication Unit
  • Wilaya
    • Ilala
    • Kinondoni
    • Temeke
    • Ubungo
    • Kigamboni
  • Halmashauri
    • Jiji
    • Kinondoni MC
    • Temeke MC
    • Ubungo MC
    • Kigamboni MC
  • Fursa za Uwekezaji
    • Muongozo wa Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
    • Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu Mbalimbali
    • Taarifa Mbalimbali
    • Fomu ya Ahadi ya Uadilifu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
      • Bofya hapa
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio

RC Chalamila Wawekezaji Wakubwa Karibuni Dar,Nafasi Zipo

Posted on: February 26th, 2024

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila ameyasema hayo leo Februari 26, 2024 wakati akikagua maradi wa Soko kubwa la kisasa la kimataifa maarufu kwa jina la East Africa Logistics Center uwekezaji unaofanywa na raia wa China katika eneo la Ubungo bus Terminal ya zamani Jijini Dar es Salaam.

RC Chalamila akiwa katika muendelezo wa ziara yake ya kukagua miradi ya maendeleo na kusikiliza kero katika jimbo la Ubungo mapema leo alianza na Hospitali ya Wilaya Ubungo , Shule ya Sekondari NHC na Mradi wa Ujenzi wa Soko kubwa la Kisasa Ubungo ambapo alipata fursa ya kusikiliza wasilisho la mradi huo ambao unatarajiwa kukamilika July, 2024

Mhe Mkuu wa Mkoa Alisema uwekezaji unaofanyika katika eneo la Ubungo unakwenda kufungua fursa za kibiashara, ajira, hivyo amemshukuru Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kwa kuridhia uwekezaji huo kwa masilahi mapana ya umma

" Ninachoweza kusema Mkoa bado unanafasi za uwekezaji mkubwa kama huu hivyo niwakaribishe sana nchi ina amani na utulivu wa kisiasa" Alisema RC Chalamila

Aidha RC Chalamila akiwa katika shule ya Sekondari NHC- Ubungo ameweka jiwe la msingi jengo la utawala na kuongea na wanafunzi pamoja na walimu ambapo amewataka kuchapa kazi kwa bidii na wanafunzi wasome kwa bidii kwa kuwa Mhe Rais Dkt Samia amekuwa mstari wa mbele kufanya maboresho makubwa katika sekta ya Elimu.

Sambamba na hilo RC Chalamila amesikiliza kero za wananchi wa jimbo la Ubungo katika viwanja vya Barafu Mburahati na kuzipatia majawabu papo hapo

Mwisho RC Chalamila anatarajia kuendelea na ziara yake katika Wilaya ya Kigamboni machi 2-3,2024 kukagua miradi ya maendeleo na kusikiliza kero za wananchi.

Matangazo

  • MATOKEO YA MTIHANI WA UTAMILIFU (MOCK) MKOA WA DARASA LA SABA - 2024 July 05, 2024
  • KARIBU MAKAMU WA RAIS WA MAREKANI MHE HARRIS KAMALA March 29, 2023
  • KARIBU MWENGE WA UHURU 2023 May 24, 2023
  • Matokeo ya Mtihani wa Mock Mkoa Darasa la Saba - 2020 September 02, 2020
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • RC Chalamila Akabidhi Magari Mapya Mawili (2)-DSM

    May 20, 2025
  • Rais wa Finland Alexander Stubb Atembelea Machinga Complex - DSM

    May 16, 2025
  • RAS Nguvila Atoa Maagizo 14 kwa Wakurugenzi wa Halmashauri za Mkoa wa Dar es Salaam

    May 16, 2025
  • Waziri Mkuu Mhe Kassim Majaliwa akiwasili NIDC-Kijitonyama

    May 15, 2025
  • Tazama zote

Video

RC Chalamila Azindua Wiki ya Sheria DSM
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
  • Wilaya ya Ilala
  • Wilaya ya Kinondoni
  • Wilaya ya Temeke
  • Wilaya ya Ubungo
  • Wilaya ya Kigamboni

Tovuti Muhimu

  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Ofis ya Rais-Utumishi
  • Wizara ya Elimu
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti Rasmi ya Rais
  • Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa

    Anuani ya Posta: S.L.P. 5429

    Simu ya mezani: +255 22 2203158

    Simu ya mkononi: +255 22 2203156

    Barua pepe: ras@dsm.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki © 2017 - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,haki zote zimehifadhiwa