• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Mkoa  wa Dar es Salaam

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dar es Salaam

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Muundo wa Kiutawala
  • Utawala
    • Seksheni
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Management,Monitoring and Inspection
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu
      • Industry, Trade and Investiment
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Government Communication Unit
  • Wilaya
    • Ilala
    • Kinondoni
    • Temeke
    • Ubungo
    • Kigamboni
  • Halmashauri
    • Jiji
    • Kinondoni MC
    • Temeke MC
    • Ubungo MC
    • Kigamboni MC
  • Fursa za Uwekezaji
    • Muongozo wa Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
    • Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu Mbalimbali
    • Taarifa Mbalimbali
    • Fomu ya Ahadi ya Uadilifu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
      • Bofya hapa
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio

RC Chalamila Taifa letu Litajengwa na Kodi za Watanzania

Posted on: May 22nd, 2024

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mhe Albert Chalamila amesema namna pekee ya kupata maendeleo kwa Taifa lolote ni kulipa kodi bila shuruti ambapo Serikali ya Tanzania Kupitia Mamlaka ya Mapato (TRA), itaendeleza oparesheni za kuwabaini baadhi ya wafanyabiashara wa vinywaji wanaoingiza vinywaji nchini visivyothibitishwa na TBS, na wanaofanya biashara hiyo bila muhuri wa TRA, kwakuwa lengo lao ni kuhujumu uchumi wa nchi. 

RC Chalamila ametoa kauli hiyo Leo Mei 22, 2024 wakati akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake kuhusu Ujenzi wa uchumi wa Taifa katika mkoa huo, Kwa kuzingatia misingi ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ya kuongoza nchi Kwa kuijenga upya, kusisitiza Ustahamilivu na maridhiano' tangu alipoingia madarakani. 

Aidha, RC Chalamila amewasisitiza wafanyabiashara, wakuu wa Taasisi na mashirika mbalimbali kupelekea marejesho ya Payee na SDL kwa mujibu wa sheria inayowataka kufanya hivyo Kila tarehe 7 ya kila mwezi, na Kila Tarehe 20 ya Kila mwezi kwa upande wa marejesho ya VAT, ikiwa ni mwishoni mwa mwaka wa fedha 2023- 24. 

"Taifa letu linajengwa kwa kodi za Watanzania, tunahitaji Mtanzania yoyote aweze kulipa kodi ili taifa liweze kumudu kupelekea huduma Kwa watanzania, natoa rai hii mbele yenu waandishi wa habari, kuwasisitiza wafanyabiashara na watu wote wanapaswa kulipa Kodi Kwa Sheria ili taifa liweze kusimamia Msingi huo. " 

Sanjari na hili kumekuwa na malalamiko makubwa kutoka kwa TRA, kutokana na wafanyabiashara kutotoa risiti za EFD, na hata wanaoamua kutoa zingine zinakinzana na bei halisi ya mtena aliyonunulia bidhaa, nawaasa wafanyabiashara ni muhimu kutoa risiti kwasababu wewe ni Wakala tu wakukusanya Fedha kutoka Kwa mwananchi," amesema RC Chalamila

Matangazo

  • MATOKEO YA MTIHANI WA UTAMILIFU (MOCK) MKOA WA DARASA LA SABA - 2024 July 05, 2024
  • KARIBU MAKAMU WA RAIS WA MAREKANI MHE HARRIS KAMALA March 29, 2023
  • KARIBU MWENGE WA UHURU 2023 May 24, 2023
  • Matokeo ya Mtihani wa Mock Mkoa Darasa la Saba - 2020 September 02, 2020
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • RC Chalamila Ataka Machinga Kariakoo Kufungua Njia

    May 28, 2025
  • CHALAMILA SERIKALI INATAMBUA NA KUTHAMINI KAZI YA UUGUZI

    May 23, 2025
  • Mchengerwa: Maafisa Habari Hakikisheni Wanachi Wanapata Habari Sahihi

    May 23, 2025
  • RC Chalamila Akabidhi Magari Mapya Mawili (2)-DSM

    May 20, 2025
  • Tazama zote

Video

RC Chalamila Azindua Wiki ya Sheria DSM
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
  • Wilaya ya Ilala
  • Wilaya ya Kinondoni
  • Wilaya ya Temeke
  • Wilaya ya Ubungo
  • Wilaya ya Kigamboni

Tovuti Muhimu

  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Ofis ya Rais-Utumishi
  • Wizara ya Elimu
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti Rasmi ya Rais
  • Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa

    Anuani ya Posta: S.L.P. 5429

    Simu ya mezani: +255 22 2203158

    Simu ya mkononi: +255 22 2203156

    Barua pepe: ras@dsm.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki © 2017 - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,haki zote zimehifadhiwa