• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Mkoa  wa Dar es Salaam

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dar es Salaam

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Muundo wa Kiutawala
  • Utawala
    • Seksheni
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Management,Monitoring and Inspection
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu
      • Industry, Trade and Investiment
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Government Communication Unit
  • Wilaya
    • Ilala
    • Kinondoni
    • Temeke
    • Ubungo
    • Kigamboni
  • Halmashauri
    • Jiji
    • Kinondoni MC
    • Temeke MC
    • Ubungo MC
    • Kigamboni MC
  • Fursa za Uwekezaji
    • Muongozo wa Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
    • Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu Mbalimbali
    • Taarifa Mbalimbali
    • Fomu ya Ahadi ya Uadilifu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
      • Bofya hapa
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio

RC Chalamila Azindua Kliniki Maalum Hospitali ya Mloganzila

Posted on: September 18th, 2025

 

-Amshukuru Rais Dkt Samia kwa uwekezaji mkubwa katika sekta ya afya hapa nchini.

-Apongeza Hospitali ya Mloganzila kwa kubuni Kliniki maalum (Premier Clinic)

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila leo Septemba 18, 2025 amezindua "Premier Clinic " katika Hospitali ya Mloganzila Wilaya ya Ubungo Jijini Dar es Salaam.

Akiongea wakati wa uzinduzi huo mapema leo RC Chalamila amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan kwa kuendelea kufanya uwekezaji mkubwa katika sekta ya Afya, kwa kuwa sasa Hospitali nyingi zina miundombinu mizuri, wataalamu wazuri, pamoja na vifaa tiba. " Hakika huo ni uwekezaji mkubwa"

Aidha RC Chalamila ameipongeza Hospitali ya Mloganzila kwa kuwa wabunifu kuanzisha kliniki maalum (Premier Clinic) ambayo inakwenda kutoa huduma za kibingwa na ubingwa bobevu katika upandikishaji wa Figo, Uloto, nyonga, uchunguzi na matibabu ya ubongo, mgongo na mishipa ya fahamu.

Vilevile upasuaji wa uti wa mgongo kwa watoto, matibabu ya saratani, huduma za upasuaji rekebishi, huduma za dharura  na ajali, uchunguzi na matibabu ya mafuta kwenye mishipa ya damu pamoja na matibabu ya kisukari na Homoni.

Sambamba na hilo RC Chalamila  amewataka wtumishi na viongozi kufanya kazi kwa bidii kwa ushirikiano kila mmoja ahakikishe anaacha alama ili kizazi na kizazi kimkumbuke

Matangazo

  • DIRA YA TAIFA YA MAENDELEO 2050 July 17, 2025
  • MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA WA DARASA LA SABA MEI, 2025 July 18, 2025
  • TAARIFA KWA UMMA KUHUSU MWANAFUNZI ALIYEADHIBIWA-MAKUMBUSHO SEKONDARI September 23, 2025
  • TAARIFA KWA UMMA KUHUSU MWANAFUNZI ALIYEADHIBIWA-MAKUMBUSHO SEKONDARI September 23, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • RC Chalamila Afungua Kongamano la Mawakili Wanawake Kuelekea Uchaguzi Mkuu

    October 04, 2025
  • RC Chalamila Aibua Tumaini Jipya kwa Watumiaji wa Mwendokasi

    October 01, 2025
  • RC Chalamila Marufuku Mabaunsa Kutumika Kutoa Watu Meneo Yenye Migogoro DSM.

    September 24, 2025
  • RAS - DSM Sports Club yapata ushindi wa pili katika Mchezo wa Draft

    September 22, 2025
  • Tazama zote

Video

RC Chalamila Azindua Wiki ya Sheria DSM
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
  • Wilaya ya Ilala
  • Wilaya ya Kinondoni
  • Wilaya ya Temeke
  • Wilaya ya Ubungo
  • Wilaya ya Kigamboni

Tovuti Muhimu

  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Ofis ya Rais-Utumishi
  • Wizara ya Elimu
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti Rasmi ya Rais
  • Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa

    Anuani ya Posta: S.L.P. 5429

    Simu ya mezani: +255 22 2203158

    Simu ya mkononi: +255 22 2203156

    Barua pepe: ras@dsm.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki © 2017 - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,haki zote zimehifadhiwa