• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Mkoa  wa Dar es Salaam

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dar es Salaam

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Muundo wa Kiutawala
  • Utawala
    • Seksheni
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Management,Monitoring and Inspection
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu
      • Industry, Trade and Investiment
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Government Communication Unit
  • Wilaya
    • Ilala
    • Kinondoni
    • Temeke
    • Ubungo
    • Kigamboni
  • Halmashauri
    • Jiji
    • Kinondoni MC
    • Temeke MC
    • Ubungo MC
    • Kigamboni MC
  • Fursa za Uwekezaji
    • Muongozo wa Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
    • Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu Mbalimbali
    • Taarifa Mbalimbali
    • Fomu ya Ahadi ya Uadilifu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
      • Bofya hapa
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio

RC Chalamila Atembelea Soko la Kawe ambalo Limeungua kwa Moto

Posted on: September 15th, 2025

 

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaama Mhe Albert Chalamila ametembelea soko la Kawe ambalo limeungua moto usiku wa kuamkia leo Septemba 15,2025 kuwafariji wafanyabiashara waliopoteza mali zao kutokana na ajali hiyo ambapo ameelekeza Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni kutoa kiasi cha shilingi milioni miamoja kama mkono wa pole

Akizungumza mara baada ya kutembelea soko hilo lililoteketea kwa moto kwenye eneo la kawe jijini Dar es aalaam RC Chalamila pamoja na kufikisha salam za pole kutoka kwa Rais Dkt Samia amesema soko hilo sasa litajengwa na Serikali kwa ubora na kwa haraka ili wafanyabiashara waendelee na biashara na kwamba kwa sasa wafanyabiashara wapelekwe eneo la viwanja vya shirika la nyumba NHC Tanganyika Perkas

Aidha RC Chalamila ameelekeza kuandaliwa takwimu za wafanyabiashara kwenye masoko yote ili yanapotokea majanga kuwe na takwimu sahihi za waathirika ambapo kwa soko hilo la Kawe kulikua na takribani wafanyabiashara elfu moja walioathitika hivyo ametaka Manispaa ya kinondoni kutoa milioni miamoja ya pole mapema Septemba 16, 2025

Kwa upande wake Katibu wa wafanyabiashara wa soko la Kawe Ndg Silvester Chidego ameshukuru  Serikali kwa kutoa faraja kwa wafanyabiashara na kwamba fedha hizo milioni miamoja watazigawa kwa wafanyabiashara wote huku mmoja wa wazee wafanyabiashara wa soko hilo akiomba wadau kujitokeza kuwawezesha wafanyabiashara huku akitoa tahadhari kwa vibaka walioiba bidhaa za wafanyabiashara kuwa kuna dua maalum itasomwa

Soko hilo la kawe limeungua usiku wa Septemba 15, 2025 hivyo kuamkia Septemba 16, 2025 RC Chalamila ameagiza kamati ya kuchunguza chanzo cha moto huo iwe imeundwa na ifanye kazi yake mara moja

Matangazo

  • DIRA YA TAIFA YA MAENDELEO 2050 July 17, 2025
  • MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA WA DARASA LA SABA MEI, 2025 July 18, 2025
  • KARIBU MAKAMU WA RAIS WA MAREKANI MHE HARRIS KAMALA March 29, 2023
  • KARIBU MWENGE WA UHURU 2023 May 24, 2023
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • RC Chalamila Atembelea Soko la Kawe ambalo Limeungua kwa Moto

    September 15, 2025
  • KATIBU TAWALA WA MKOA DSM NDG ABDUL MHINTE AKUTANA NA WATUMISHI WA WILAYA YA TEMEKE NA KIGAMBONI

    September 11, 2025
  • KATIBU TAWALA WA MKOA NDG ABDUL MHINTE ATAKA MAARIFA ZAIDI YATUMIKE KATIKA UKUSANYAJI WA MAPATO DSM

    September 10, 2025
  • Katibu Tawala wa Mkoa na Madaktari wasio na Mipaka Wasaini Makubaliano ya Usaidizi Utoaji Huduma za Dharula.

    September 03, 2025
  • Tazama zote

Video

RC Chalamila Azindua Wiki ya Sheria DSM
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
  • Wilaya ya Ilala
  • Wilaya ya Kinondoni
  • Wilaya ya Temeke
  • Wilaya ya Ubungo
  • Wilaya ya Kigamboni

Tovuti Muhimu

  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Ofis ya Rais-Utumishi
  • Wizara ya Elimu
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti Rasmi ya Rais
  • Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa

    Anuani ya Posta: S.L.P. 5429

    Simu ya mezani: +255 22 2203158

    Simu ya mkononi: +255 22 2203156

    Barua pepe: ras@dsm.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki © 2017 - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,haki zote zimehifadhiwa