• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Mkoa  wa Dar es Salaam

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dar es Salaam

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Muundo wa Kiutawala
  • Utawala
    • Seksheni
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Management,Monitoring and Inspection
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu
      • Industry, Trade and Investiment
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Government Communication Unit
  • Wilaya
    • Ilala
    • Kinondoni
    • Temeke
    • Ubungo
    • Kigamboni
  • Halmashauri
    • Jiji
    • Kinondoni MC
    • Temeke MC
    • Ubungo MC
    • Kigamboni MC
  • Fursa za Uwekezaji
    • Muongozo wa Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
    • Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu Mbalimbali
    • Taarifa Mbalimbali
    • Fomu ya Ahadi ya Uadilifu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
      • Bofya hapa
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio

RC Chalamila Atembelea na Kukagua Mabanda ya Maonesho ya Nanenane Kanda ya Mashariki 2025

Posted on: August 6th, 2025

 

-Afurahishwa na ushiriki mkubwa pamoja na maandalizi mazuri ya maonesho hayo

-Asema Rais Dkt Samia kupitia Wizara ya kilimo ameongeza bajeti kubwa kuliko wakati mwingine wowote

-Asisitiza Sera nzuri ni matokeo ya uongozi mzuri atoa wito " Chagua Viongozi Bora kwa Maendeleo Endelevu ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi"

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila Agosti 6, 2025 ametembelea na kukagua mabanda mbalimbali ya maonesho kanda ya mashariki Mkoani Morogoro.

Akikagua mabanda ya maonesho ya NANENANE RC Chalamila amefurahishwa na ushiriki mkubwa wa wakulima, wavuvi na wafugaji, Taasisi, Halmashauri, pamoja na  makampuni mbalimbali katika maonesho hayo.

Aidha RC Chalamila amesema Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan kupitia wizara ya Kilimo ameongeza bajeti kubwa kuliko nyakati nyingine yoyote hivyo tuna kila sababu ya kumshukiru Mhe Rais.

Vilevile RC Chalamila amesema mwaka huu tunaelekea kwenye uchaguzi mkuu, sera nzuri ni matokeo ya uongozi bora kila mmoja wetu amuamasishe mwingine kushiriki uchaguzi mkuu kama kauli mbiu inavyosema "Chagua Viongozi Bora kwa Maendeleo Endelevu ya Kilimo Mifugo na Uvuvi"

Mwisho Maonesho ya NANENANE Kanda ya Mashariki yanajumuisha Mikoa minne, Dar es Salaam, Morogoro, Pwani na Tanga, kwa mwaka huu 2025 kikaifa maonesho hayo yanafanyika Mkoani Dodoma

Matangazo

  • DIRA YA TAIFA YA MAENDELEO 2050 July 17, 2025
  • MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA WA DARASA LA SABA MEI, 2025 July 18, 2025
  • KARIBU MAKAMU WA RAIS WA MAREKANI MHE HARRIS KAMALA March 29, 2023
  • KARIBU MWENGE WA UHURU 2023 May 24, 2023
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • Wabunge wa Bunge la Taifa Korea Watembelea Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam.

    August 12, 2025
  • RC Chalamila Atembelea na Kukagua Mabanda ya Maonesho ya Nanenane Kanda ya Mashariki 2025

    August 06, 2025
  • RC Chalamila Aaga Mwili wa Mzee Peter Partson Makakala.

    August 05, 2025
  • Uzinduzi wa Kituo cha Biashara na Usafirishaji Afrika Mashariki-EACLC

    August 01, 2025
  • Tazama zote

Video

RC Chalamila Azindua Wiki ya Sheria DSM
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
  • Wilaya ya Ilala
  • Wilaya ya Kinondoni
  • Wilaya ya Temeke
  • Wilaya ya Ubungo
  • Wilaya ya Kigamboni

Tovuti Muhimu

  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Ofis ya Rais-Utumishi
  • Wizara ya Elimu
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti Rasmi ya Rais
  • Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa

    Anuani ya Posta: S.L.P. 5429

    Simu ya mezani: +255 22 2203158

    Simu ya mkononi: +255 22 2203156

    Barua pepe: ras@dsm.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki © 2017 - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,haki zote zimehifadhiwa