• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Mkoa  wa Dar es Salaam

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dar es Salaam

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Muundo wa Kiutawala
  • Utawala
    • Seksheni
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Management,Monitoring and Inspection
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu
      • Industry, Trade and Investiment
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Government Communication Unit
  • Wilaya
    • Ilala
    • Kinondoni
    • Temeke
    • Ubungo
    • Kigamboni
  • Halmashauri
    • Jiji
    • Kinondoni MC
    • Temeke MC
    • Ubungo MC
    • Kigamboni MC
  • Fursa za Uwekezaji
    • Muongozo wa Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
    • Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu Mbalimbali
    • Taarifa Mbalimbali
    • Fomu ya Ahadi ya Uadilifu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
      • Bofya hapa
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio

RC Chalamila Atembelea Daraja la Msumi na Mbopo Awatoa Hofu Wananchi

Posted on: February 5th, 2024

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila leo Februari 5,2024 amefanya ziara katika Daraja la Msumi na Mbopo ambayo yaliathiriwa kwa sehemu kubwa Kipindi cha mvua na kuwatoa hofu wakazi wa maeneo hayo ambapo amesema Serikali iko kazini adhima ya Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan ni kuondoa kero mbalimbali kwa wananchi hususani za miundombinu ya barabara.

RC Chalamila akiongea na Wananchi wa Msumi amesema kufuatia mvua zilizo kuwa zikinyesha zaidi ya madaraja 13 yaliathiriwa na mvua hizo, Serikali imeendelea kufanya kazi usiku na mchana kurudisha maeneo hayo yaliyoathirika katika hali ya awali ambapo wananchi sasa wanaweza kupita

Lakini yako madaraja kama la Msumi Serikali iko kwenye hatua ya kujenga upya lakini ili Shughuli za kibinadamu ziweze kuendelea naelekeza mara kujengwa kwa njia ya dharula ikiwa ni hatua ya awali wakati maandalizi ya kujenga daraja la kudumu yanaendelea.

"Nitoe rai kwa wananchi kuacha mara moja kujenga kwenye mabonde na mikondo ya maji pia kutofanya Shughuli za kibinadamu kando kando ya mito" Alisisitiza RC Chalamila

Aidha RC Chalamila alipata wasaa wa kuwasikiliza wananchi kero zao ambazo alizipatia majibu papo hapo na kuahidi wiki ijayo anatarajia kufanya Ziara kubwa katika Wilaya zote za Mkoa ambapo atakagua miradi na kusikiliza kero za wananchi hivyo wakae mkao wa kula Serikali yao iko kazin

Matangazo

  • MATOKEO YA MTIHANI WA UTAMILIFU (MOCK) MKOA WA DARASA LA SABA - 2024 July 05, 2024
  • KARIBU MAKAMU WA RAIS WA MAREKANI MHE HARRIS KAMALA March 29, 2023
  • KARIBU MWENGE WA UHURU 2023 May 24, 2023
  • Matokeo ya Mtihani wa Mock Mkoa Darasa la Saba - 2020 September 02, 2020
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • RC Chalamila Ataka Machinga Kariakoo Kufungua Njia

    May 28, 2025
  • CHALAMILA SERIKALI INATAMBUA NA KUTHAMINI KAZI YA UUGUZI

    May 23, 2025
  • Mchengerwa: Maafisa Habari Hakikisheni Wanachi Wanapata Habari Sahihi

    May 23, 2025
  • RC Chalamila Akabidhi Magari Mapya Mawili (2)-DSM

    May 20, 2025
  • Tazama zote

Video

RC Chalamila Azindua Wiki ya Sheria DSM
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
  • Wilaya ya Ilala
  • Wilaya ya Kinondoni
  • Wilaya ya Temeke
  • Wilaya ya Ubungo
  • Wilaya ya Kigamboni

Tovuti Muhimu

  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Ofis ya Rais-Utumishi
  • Wizara ya Elimu
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti Rasmi ya Rais
  • Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa

    Anuani ya Posta: S.L.P. 5429

    Simu ya mezani: +255 22 2203158

    Simu ya mkononi: +255 22 2203156

    Barua pepe: ras@dsm.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki © 2017 - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,haki zote zimehifadhiwa