• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Mkoa  wa Dar es Salaam

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dar es Salaam

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Muundo wa Kiutawala
  • Utawala
    • Seksheni
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Management,Monitoring and Inspection
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu
      • Industry, Trade and Investiment
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Government Communication Unit
  • Wilaya
    • Ilala
    • Kinondoni
    • Temeke
    • Ubungo
    • Kigamboni
  • Halmashauri
    • Jiji
    • Kinondoni MC
    • Temeke MC
    • Ubungo MC
    • Kigamboni MC
  • Fursa za Uwekezaji
    • Muongozo wa Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
    • Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu Mbalimbali
    • Taarifa Mbalimbali
    • Fomu ya Ahadi ya Uadilifu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
      • Bofya hapa
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio

RC Chalamila Ataka NGOs Kuzingatia Mila, Desturi, Tamaduni, na Maadili ya Kiafrika

Posted on: July 28th, 2023

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila ameyasema hayo akiwa mgeni rasmi katika jukwaa la Mwaka la Mashirika yasiyo ya Kiserikali, katika ukumbi wa Maktaba Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam (UDSM) leo Julai 28, 2023

RC Chalamila amesema anatambua mchango wa mashirika yasiyo ya Kiserikali katika maendeleo na ustawi wa jamii ya Mkoa wa Dar es Salaam na Taifa kwa ujumla ambapo amewataka kuwekeza katika Rasilimali watu ili kuweza kupiga hatua zaidi.

Aidha Mhe Chalamila amezitaka NGOs kuakisi maadili ya kitanzania, kuhamasisha uzalendo, kutoa elimu ya utambuzi wa haki za binadamu na uwajibikaji pia kujenga misingi imara ya kujitegemea kiuchumi na kuwasilisha taarifa mbalimbali ikiwemo taarifa za robo za utekelezaji wa majukumu yao.

Hata hivyo RC Chalamila amesema Mkoa wa Dar es Salaam una maeneo mengi ambayo mashirika hayo yakishiriki ipasavyo Mkoa utasonga mbele kimaendeleo mfano Mazingira nyanja ya taka, na  mipango miji nyaja ya ujenzi holela, pia ametoa rai kuelekea Kipindi cha uchaguzi mashirika hayo yajikite kutoa elimu ya uchaguzi na si vinginevyo.

Vilevile Mhe RC Chalamila amepokea maombi maalum yaliyowasilishwa kwake na jukwaa hilo ikiwemo Ofisi yake na Halmashauri kutenga bajeti, kuendelea kushirikiana na majukwaa hayo, kusaidia kushawishi mabadiliko ya sera za kodi zinazotozwa kwa NGOs  na kuwa balozi katika kuelezea umuhimu wa mashirika hayo kwa jamii.

Mwisho Jukwa la Mwaka la Mashirika yasiyo ya Kiserikali Mkoa wa Dar es Salaam 2023 lenye kauli mbiu " Mashirika yetu, Maadili yetu,Taifa letu" limejadili mada mbalimbali ikiwemo Changamoto na mapendekezo ya kodi nchini, Changamoto na uzingatiaji wa sheria za usimamizi na uendelezaji wa NGOs pia mwelekeo na nafasi NGOs kukabiliana na Changamoto za uendelevu zilizopo na zijazo kitaifa na kimataifa

Matangazo

  • MATOKEO YA MTIHANI WA UTAMILIFU (MOCK) MKOA WA DARASA LA SABA - 2024 July 05, 2024
  • KARIBU MAKAMU WA RAIS WA MAREKANI MHE HARRIS KAMALA March 29, 2023
  • KARIBU MWENGE WA UHURU 2023 May 24, 2023
  • Matokeo ya Mtihani wa Mock Mkoa Darasa la Saba - 2020 September 02, 2020
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • Temeke Yang'ara Mwenge wa Uhuru 2025

    June 02, 2025
  • RC Chalamila: Miradi 36 yenye Thamani ya Tsh 79,255,160,719.44 Kupitiwa na Mwenge wa Uhuru Dar

    June 01, 2025
  • RC Chalamila Ataka Machinga Kariakoo Kufungua Njia

    May 28, 2025
  • CHALAMILA SERIKALI INATAMBUA NA KUTHAMINI KAZI YA UUGUZI

    May 23, 2025
  • Tazama zote

Video

RC Chalamila Azindua Wiki ya Sheria DSM
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
  • Wilaya ya Ilala
  • Wilaya ya Kinondoni
  • Wilaya ya Temeke
  • Wilaya ya Ubungo
  • Wilaya ya Kigamboni

Tovuti Muhimu

  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Ofis ya Rais-Utumishi
  • Wizara ya Elimu
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti Rasmi ya Rais
  • Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa

    Anuani ya Posta: S.L.P. 5429

    Simu ya mezani: +255 22 2203158

    Simu ya mkononi: +255 22 2203156

    Barua pepe: ras@dsm.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki © 2017 - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,haki zote zimehifadhiwa