• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Mkoa  wa Dar es Salaam

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dar es Salaam

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Muundo wa Kiutawala
  • Utawala
    • Seksheni
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Management,Monitoring and Inspection
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu
      • Industry, Trade and Investiment
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Government Communication Unit
  • Wilaya
    • Ilala
    • Kinondoni
    • Temeke
    • Ubungo
    • Kigamboni
  • Halmashauri
    • Jiji
    • Kinondoni MC
    • Temeke MC
    • Ubungo MC
    • Kigamboni MC
  • Fursa za Uwekezaji
    • Muongozo wa Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
    • Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu Mbalimbali
    • Taarifa Mbalimbali
    • Fomu ya Ahadi ya Uadilifu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
      • Bofya hapa
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio

RC Chalamila Aongoza Mamia ya Wananchi DSM Kufanya Usafi

Posted on: January 24th, 2024


 RC Chalamila kushoto akiwa amebeba tenga la uchafu pamoja na Katibu Tawala wa Mkoa huo Bi Rehema Madenge wakati wa zoezi la usafi mapema leo

- CHADEMA waunga mkono zoezi hilo

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila leo Januari 24, 2024 ameongoza mamia ya Wananchi wa Mkoa kufanya usafi eneo la Mbezi Malambamawili Jijini humo

Akiongea baada ya kufanya usafi RC Chalamila amesema kufanya usafi ni kudhibiti magonjwa ya milipuko ambayo hivi karibuni yamekua yakiripotiwa katika baadhi ya mikoa kama kipindupindu, vilevile kufanya usafi ni Kupendezesha Jiji letu hivyo kila mmoja ashiriki kufanya usafi katika eneo lake iwe ni tabia.

Aidha RC Chalamila ametoa ufafanuzi wa upotoshaji katika mitandao juu Usafi na maandamano ya CHADEMA hakuna uhusiano wowote, "Tanzania ni moja CCM ni Tanzania, CHADEMA ni Tanzania usafi hauna itikadi za Chama chochote, muda wa siasa chafu umepita na wakati tushindane kwa hoja" Alisema RC Chalamila

Vilevile Mhe Mkuu wa Mkoa ametoa rai kila mmoja kuilinda Dar es Salaam kutokana na umuhimu wake kwa Taifa na Wananchi kwa Ujumla, lazima kutambua Mkoa huu ndio kitovu cha Biashara, pia ni  center ya diplomasia vilevile ndio taswira ya Nchi alisistiza Mhe Chalamila

Sambamba na hilo RC Chalamila amewashukuru CHADEMA kwa ushiriki wao katika zoezi la usafi kwa kuwa usafi sio Siasa ambapo amepokea ombi la mmoja wa wanachama wa CHADEMA ndg James Oyaro kuomba eneo la soko Kimara, pia Mhe Mkuu wa Mkoa amesema wafanyabishara wa Mbezi mwisho waendelee na biashara anachoitaji kuona ni usafi na ubunifu ambao hauathiri watu wengine.

Vilevile RC Chalamila amepokea vifaa vya usafi kutoka kwa wadau wa usafi Benki ya CRDB, NMB, DAWASA na TCC na kuzikabidhi Wilaya ya Ubungo ambapo ametoa shukrani kwa wadau na kutoa rai kwa wadau wengine kuunga mkono kampeni ya Usafi katika mkoa huo

Mwisho Mhe Mkuu wa Mkoa katika zoezi hilo aliambatana na Viongozi wengine akiwemo Katibu Tawala wa Mkoa huo Bi Rehema Madenge, Katibu wa CCM Mkoa Ndg Adam ngalawa Viongozi wengine wa CCM Mkoa na Wilaya ya Ubungo, Viongozi wa Taasisi, Benki pamoja na Watumishi


Matangazo

  • MATOKEO YA MTIHANI WA UTAMILIFU (MOCK) MKOA WA DARASA LA SABA - 2024 July 05, 2024
  • KARIBU MAKAMU WA RAIS WA MAREKANI MHE HARRIS KAMALA March 29, 2023
  • KARIBU MWENGE WA UHURU 2023 May 24, 2023
  • Matokeo ya Mtihani wa Mock Mkoa Darasa la Saba - 2020 September 02, 2020
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • RC Chalamila: Miradi 36 yenye Thamani ya Tsh 79,255,160,719.44 Kupitiwa na Mwenge wa Uhuru Dar

    June 01, 2025
  • RC Chalamila Ataka Machinga Kariakoo Kufungua Njia

    May 28, 2025
  • CHALAMILA SERIKALI INATAMBUA NA KUTHAMINI KAZI YA UUGUZI

    May 23, 2025
  • Mchengerwa: Maafisa Habari Hakikisheni Wanachi Wanapata Habari Sahihi

    May 23, 2025
  • Tazama zote

Video

RC Chalamila Azindua Wiki ya Sheria DSM
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
  • Wilaya ya Ilala
  • Wilaya ya Kinondoni
  • Wilaya ya Temeke
  • Wilaya ya Ubungo
  • Wilaya ya Kigamboni

Tovuti Muhimu

  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Ofis ya Rais-Utumishi
  • Wizara ya Elimu
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti Rasmi ya Rais
  • Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa

    Anuani ya Posta: S.L.P. 5429

    Simu ya mezani: +255 22 2203158

    Simu ya mkononi: +255 22 2203156

    Barua pepe: ras@dsm.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki © 2017 - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,haki zote zimehifadhiwa