• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Mkoa  wa Dar es Salaam

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dar es Salaam

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Muundo wa Kiutawala
  • Utawala
    • Seksheni
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Management,Monitoring and Inspection
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu
      • Industry, Trade and Investiment
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Government Communication Unit
  • Wilaya
    • Ilala
    • Kinondoni
    • Temeke
    • Ubungo
    • Kigamboni
  • Halmashauri
    • Jiji
    • Kinondoni MC
    • Temeke MC
    • Ubungo MC
    • Kigamboni MC
  • Fursa za Uwekezaji
    • Muongozo wa Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
    • Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu Mbalimbali
    • Taarifa Mbalimbali
    • Fomu ya Ahadi ya Uadilifu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
      • Bofya hapa
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio

RC Chalamila Anogesha Hamasa ya Young Africans Kuelekea Mtanange Jumapili

Posted on: May 24th, 2023

- Atoa Tsh Milioni 5 kwa tiketi za  watu 1000

-Aupongeza Uongozi wa Young Africans ,Kocha, wachezaji, wadhamini na mashabiki wote kwa ujumla

-Atoa Rai kwa wananchi wote kujitokeza kuwashangilia Young Africans Jumapili

-Eng. Hersi Said ashukuru na kusema hamasa iliyotolewa na Mhe. Rais pamoja na RC ni KUBWA Sana wanaichukua Kama motisha ya kumfanya Rais Samia awe wa kwanza kubeba kombe hilo

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam "Mhe. Albert Chalamila* leo Mei 24, 2023 ameupokea ugeni wa Rais wa Young Africans uliofika kumtembelea ofisini kwake

Mhe. Chalamila amesema kwa sasa Young Africans ndio timu  inayoenda kutupatia Heshima Kubwa hivyo tuiunge Mkono.  *"Mhe. Rais Samia alianza kwa kutoa Milioni 5 kwa kila goli kwa timu zetu mpaka kufikia Milioni 20 kwa sasa, hakuishia hapo ametoa mpaka ndege bure ya kuwapeleka na kuwarudisha wachezaji, viongozi na washangiliaji kadhaa ili waende kujumuika na timu Yao"* Alisisitiza RC Chalamila

RC Chalamila ameongeza kuwa kwa upande wake anatoa leo Tsh Milioni 5 kwa wananchi 1000 ambapo atapita katika vikundi vya amsha amsha kugawa tiketi na atatoa tena Tsh Milioni 5 kwa ajili ya chakula Cha Wana- Young Africans

Hata hivyo RC Chalamila ameupongeza Uongozi wa Young Africans, Kocha,  Wachezaji, Wadhamini na Mashabiki wote kwa kazi kubwa wanayoifanya na kutoa RAI kwa watu wote kujitokeza tarehe 28 Mei kwa Mkapa kushuhudia fainali ya kwanza ya Young Africans

Kwa upande wake Rais wa Young Africans Eng. Hersi Said ameshukuru na kusema Hamasa iliyofanywa na *Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan na RC Chalamila itatumika Kama Motisha ya wao kufanya vema na kumfanya Rais Samia awe wa kwanza kubeba kombe hilo

Matangazo

  • MATOKEO YA MTIHANI WA UTAMILIFU (MOCK) MKOA WA DARASA LA SABA - 2024 July 05, 2024
  • KARIBU MAKAMU WA RAIS WA MAREKANI MHE HARRIS KAMALA March 29, 2023
  • KARIBU MWENGE WA UHURU 2023 May 24, 2023
  • Matokeo ya Mtihani wa Mock Mkoa Darasa la Saba - 2020 September 02, 2020
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • Ukatili Kinara Migogoro inayohitaji Msaada wa Kisheria-Waziri Mkuu

    June 16, 2025
  • Wananchi Dar Kunufaika na Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia

    June 14, 2025
  • RC Chalamila, Samia Legal Aid Kuzinduliwa Juni 16, 2025 DSM

    June 13, 2025
  • Wataalam Kutoka Wizara ya Katiba na Sheria Wakutana na Kamati ya Usalama ya Mkoa-DSM

    June 11, 2025
  • Tazama zote

Video

RC Chalamila Azindua Wiki ya Sheria DSM
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
  • Wilaya ya Ilala
  • Wilaya ya Kinondoni
  • Wilaya ya Temeke
  • Wilaya ya Ubungo
  • Wilaya ya Kigamboni

Tovuti Muhimu

  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Ofis ya Rais-Utumishi
  • Wizara ya Elimu
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti Rasmi ya Rais
  • Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa

    Anuani ya Posta: S.L.P. 5429

    Simu ya mezani: +255 22 2203158

    Simu ya mkononi: +255 22 2203156

    Barua pepe: ras@dsm.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki © 2017 - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,haki zote zimehifadhiwa