• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Mkoa  wa Dar es Salaam

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dar es Salaam

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Muundo wa Kiutawala
  • Utawala
    • Seksheni
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Management,Monitoring and Inspection
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu
      • Industry, Trade and Investiment
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Government Communication Unit
  • Wilaya
    • Ilala
    • Kinondoni
    • Temeke
    • Ubungo
    • Kigamboni
  • Halmashauri
    • Jiji
    • Kinondoni MC
    • Temeke MC
    • Ubungo MC
    • Kigamboni MC
  • Fursa za Uwekezaji
    • Muongozo wa Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
    • Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu Mbalimbali
    • Taarifa Mbalimbali
    • Fomu ya Ahadi ya Uadilifu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
      • Bofya hapa
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio

RC Chalamila Akutana na Wamiliki wa Bar, Night Club na Grocery

Posted on: December 19th, 2023

Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Mhe Albert Chalamila leo Desemba 19,2023 amekutana na wamiliki wa Bars, Night Clubs na Grocery katika Ukumbi wa Diamond Jubilee Upanga Jijini humo

Akiongea na wamiliki hao RC Chalamila amesema maeneo hayo ya starehe yanabeba watu wengi ni fursa kubwa ya ajira kwa vijana  na husaidia kukuza uchumi wa mtu mmoja mmoja na Taifa kwa Ujumla lakini pia ni hatari kama biashara zitaendeshwa pasipo kuzingatia misingi ya amani, hivyo ni vizuri kujiepushe kuwa vichaka vya waovu, vibaka na majambazi hivyo ni wajibu wetu sote kumuunga mkono Mhe Rais Dkt Samia S. Hassan kwa kulipa kodi bila shuruti kwa mustakabali wa maendeleo ya nchi na watu wake.

RC Chalamila alisema tunaelekea kwenye sikukuu hivyo amani ni jambo lakuzingatia zaidi,  "Kwakuwa ninyi ni wadau wa serikali naombeni mtusaidie katika mambo haya, mkawe mabalozi wazuri kulinda amani ya maeneo yetu kwa maslahi ya taifa letu."

Aidha Mhe Chalamila amewataka wamiliki hao kufanya kazi kutokana na leseni zao zinavyowataka huku mchakato wa kurekebisha sheria ya muda inayo wataka kufungua biashara saa 10 jioni mpaka saa 5 usiku kwa siku za kazi na siku za mwisho wa juma kuanzia saa 8 mchana mpaka saa 6 usiku unaendelea.

 "Ni lazima tufanye kazi kwa pamoja ili mkoa wetu uwe wa kibiashara na biashara zifanyike saa 24, kwa kufuata sheria ili pia tuufanye Mkoa huu kuwa wa tofauti na mikoa mingine na sisi kama serikali tutafute namna ya kuwasaidia wafanyabiashara kwasababu Serikali inapata mapato kutoka kwao ambayo husaidia kuboresha huduma mbalimbali za kijamii," alisema RC Chalamila.

Naye Mwenyekiti wa umoja wa wamiliki wa baa na kumbi za starehe(UBAKUTA), Mponjoli Mwakabana aliiomba serikali kuboresha sheria hiyo kwasababu haindani na wakati huu.

Sambamba na hilo wamiliki hao walipata nafasi ya kueleza kero, maoni na ushauri kwa Mkuu wa Mkoa, miongoni mwa kero hizo ni usumbufu kwenye mfumo wa leseni, NEMC na polisi.

Matangazo

  • MATOKEO YA MTIHANI WA UTAMILIFU (MOCK) MKOA WA DARASA LA SABA - 2024 July 05, 2024
  • KARIBU MAKAMU WA RAIS WA MAREKANI MHE HARRIS KAMALA March 29, 2023
  • KARIBU MWENGE WA UHURU 2023 May 24, 2023
  • Matokeo ya Mtihani wa Mock Mkoa Darasa la Saba - 2020 September 02, 2020
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • RC Chalamila Ataka Machinga Kariakoo Kufungua Njia

    May 28, 2025
  • CHALAMILA SERIKALI INATAMBUA NA KUTHAMINI KAZI YA UUGUZI

    May 23, 2025
  • Mchengerwa: Maafisa Habari Hakikisheni Wanachi Wanapata Habari Sahihi

    May 23, 2025
  • RC Chalamila Akabidhi Magari Mapya Mawili (2)-DSM

    May 20, 2025
  • Tazama zote

Video

RC Chalamila Azindua Wiki ya Sheria DSM
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
  • Wilaya ya Ilala
  • Wilaya ya Kinondoni
  • Wilaya ya Temeke
  • Wilaya ya Ubungo
  • Wilaya ya Kigamboni

Tovuti Muhimu

  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Ofis ya Rais-Utumishi
  • Wizara ya Elimu
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti Rasmi ya Rais
  • Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa

    Anuani ya Posta: S.L.P. 5429

    Simu ya mezani: +255 22 2203158

    Simu ya mkononi: +255 22 2203156

    Barua pepe: ras@dsm.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki © 2017 - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,haki zote zimehifadhiwa