• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Mkoa  wa Dar es Salaam

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dar es Salaam

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Muundo wa Kiutawala
  • Utawala
    • Seksheni
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Management,Monitoring and Inspection
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu
      • Industry, Trade and Investiment
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Government Communication Unit
  • Wilaya
    • Ilala
    • Kinondoni
    • Temeke
    • Ubungo
    • Kigamboni
  • Halmashauri
    • Jiji
    • Kinondoni MC
    • Temeke MC
    • Ubungo MC
    • Kigamboni MC
  • Fursa za Uwekezaji
    • Muongozo wa Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
    • Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu Mbalimbali
    • Taarifa Mbalimbali
    • Fomu ya Ahadi ya Uadilifu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
      • Bofya hapa
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio

RC Chalamila Akutana na Waandishi wa Habari Ahamasisha Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Posted on: July 6th, 2024

 

-Asema Katika uchaguzi huo, watakaochaguliwa ni Mwenyekiti wa Serikali za Mitaa pamoja na Wajumbe Watano [5]

-Ataja sifa muhimu za Mwananchi kujiandikisha na kushiriki uchaguzi huo

-Abainisha uhakiki wa Maeneo ya Kiutawala

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila leo Julai 06,2024 amekutana na waandishi wa habari ofisi kwake Ilala Boma kwa lengo la kuhamasisha wakazi wa Mkoa huo kujitokeza kwa wingi kushiriki uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

RC chalamila amesema uchaguzi wa Serikali za Mitaa wa Mwaka 2024 wanaochaguliwa ni Mwenyekiti wa Serikali za Mitaa pamoja na Wajumbe Watano [5] wanaounda Kamati ya Mtaa ambapo wapiga kura ni Wakazi walioko katika mitaa husika.

Aidha RC Chalamila alitaja sifa za mwananchi kujiandikisha kushiriki uchaguzi huo ni pamoja na awe Raia wa Tanzania, awe na Umri wa miaka 18 au Zaidi, awe ni mkazi wa eneo la Kitongoji au Mtaa husika ,asiwe na ugonjwa wa akili uliothibitishwa na Daktari anayetambulika na Serikali au Bodi ya Utabibu na awe amejiandikisha kupiga kura katika Kitongoji au Mtaa husika.

Sanajari na hilo RC Chalamila alibainisha Kuhusu Uhakiki wa Maeneo ya Kiutawala ambapo amesema OR-TAMISEMI imeshafanya uhakiki wa maeneo ya kiutawala na  Mkoa wa Dar es Salaam umebakia na maeneo yake ya awali yanayojumuisha Wilaya 5, Tarafa 12, Kata 102 na Mitaa 564. Hivyo uchgauzi huu wa Serikali za Mitaa Utafanyika katika Mitaa yote 564. Mgawanyo wa mitaa hiyo nika ufuatavyo;- Wilaya ya Ilala Mitaa 159 , Kinondoni Mitaa 106, Temeke Mitaa 142, Kigamboni Mitaa 67, Ubungo Mitaa 90

Mwisho RC Chalamila ametoa rai kwa wananchi kushiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa ambapo wametakiwa kujitokeza kwa wingi kujiandikisha kuwa wapiga kura katika tarehe na vituo vitakavyoelekezwa pia kuhakiki majina na taarifa zao katika vituo vya kupigia kura katika tarehe na siku zitakazokuwa zimeelekezwa

Matangazo

  • MATOKEO YA MTIHANI WA UTAMILIFU (MOCK) MKOA WA DARASA LA SABA - 2024 July 05, 2024
  • KARIBU MAKAMU WA RAIS WA MAREKANI MHE HARRIS KAMALA March 29, 2023
  • KARIBU MWENGE WA UHURU 2023 May 24, 2023
  • Matokeo ya Mtihani wa Mock Mkoa Darasa la Saba - 2020 September 02, 2020
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • Ukatili Kinara Migogoro inayohitaji Msaada wa Kisheria-Waziri Mkuu

    June 16, 2025
  • Wananchi Dar Kunufaika na Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia

    June 14, 2025
  • RC Chalamila, Samia Legal Aid Kuzinduliwa Juni 16, 2025 DSM

    June 13, 2025
  • Wataalam Kutoka Wizara ya Katiba na Sheria Wakutana na Kamati ya Usalama ya Mkoa-DSM

    June 11, 2025
  • Tazama zote

Video

RC Chalamila Azindua Wiki ya Sheria DSM
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
  • Wilaya ya Ilala
  • Wilaya ya Kinondoni
  • Wilaya ya Temeke
  • Wilaya ya Ubungo
  • Wilaya ya Kigamboni

Tovuti Muhimu

  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Ofis ya Rais-Utumishi
  • Wizara ya Elimu
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti Rasmi ya Rais
  • Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa

    Anuani ya Posta: S.L.P. 5429

    Simu ya mezani: +255 22 2203158

    Simu ya mkononi: +255 22 2203156

    Barua pepe: ras@dsm.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki © 2017 - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,haki zote zimehifadhiwa