Leo Oktoba15, 2024 Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila amekutana na Ujumbe kutoka Benki ya CRDB Ofisini kwake Ilala Boma. Ujumbe huo umemtembelea Mkuu wa Mkoa ikiwa ni katika kuadhimisha mwezi wa Huduma kwa wateja, ambapo Benki ya CRDB inamshukuru kwa ushirikiano wanaoupata kutoka kwake na ofisi yake kwa ujumla.
Aidha Ujumbe huo kutoka CRDB umeongozwa na kaimu Meneja wa Kanda ya Dar es Salaam Bw.Elikira Nkya,Meneja Mwandamizi Serikali za Mitaa na Tawala za mikoa kutoka makao makuu Bi Faraja Kaziulaya, Flora Jacob makao makuu kutoka kitengo cha Huduma kwa Wateja pamoja Mariam Lema meneja wa Tawi la Ilala na Elia Mapunda meneja mahusiano. Mkuu wa mkoa amepongezs jitihada za benki hiyo katika kushirikia na ofisi yake kwenye kuwafikia wananchi wenyw uhitaji wa huduma za kibenk
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa
Anuani ya Posta: S.L.P. 5429
Simu ya mezani: +255 22 2203158
Simu ya mkononi: +255 22 2203156
Barua pepe: ras@dsm.go.tz
Haki Miliki © 2017 - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,haki zote zimehifadhiwa