• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Mkoa  wa Dar es Salaam

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dar es Salaam

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Muundo wa Kiutawala
  • Utawala
    • Seksheni
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Management,Monitoring and Inspection
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu
      • Industry, Trade and Investiment
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Government Communication Unit
  • Wilaya
    • Ilala
    • Kinondoni
    • Temeke
    • Ubungo
    • Kigamboni
  • Halmashauri
    • Jiji
    • Kinondoni MC
    • Temeke MC
    • Ubungo MC
    • Kigamboni MC
  • Fursa za Uwekezaji
    • Muongozo wa Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
    • Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu Mbalimbali
    • Taarifa Mbalimbali
    • Fomu ya Ahadi ya Uadilifu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
      • Bofya hapa
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio

RC Chalamila Akutana na Kamati ya Ardhi Maliasili na Utalii

Posted on: July 1st, 2024

 

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila leo Julai mosi,2024 amekutana na Kamati ya Ardhi Mali asili na Utalii katika ukumbi wa mikutano wa ofisi hiyo Ilala Boma

Kamati hiyo ya Bunge ikiongozwa na mwenyekiti wake Mhe Timotheo Paul Mnzava iko katika ziara ya kikazi katika Mkoa wa Dar es Salaam ambapo  jana Juni 30,2024 ilitembelea miradi NHC kawe na Moroco Square na leo Julai mosi 2024 inaendelea na ziara Gongo la Mboto Ilala kukagua maendeleo ya mradi wa ukwamuaji wa zoezi la urasimishaji wa Ardhi

Akiongea na kamati hiyo RC Chalamila ameipongeza kamati hiyo kwa namna inavyotekeleza majukumu yake na kufanya ziara katika Mkoa huo ambapo amesema mkoa huo bado unachangamoto ya  migogoro ya Ardhi na ofisi yake inaendelea kutatua migorogoro hiyo.

Pia alizungumzia suala la maji kujaa nyakati za mvua ambapo amesema yeye hawezi kuita ni mafuriko kwa sababu sehemu nyingi zinazojaa maji ni zile ambazo zimejengwa kiholela na kuzibwa kwa mifereji ya maji hivyo ni vema upimaji na upangaji wa miji uakisi changamoto hiyo,vilevile amesema bado sekta ya utalii haijafanya vizuri lakini kwa upande wa Mkoa huu tayari Katibu Tawala wa Mkoa Dkt Toba Nguvila ameshaanza kulifanyia kazi kwa kushirikiana na mali asili.

Aidha kwa upande wa mwenyekiti wa kamati Mhe Mnzava amesema ni wakati muafaka wa kuwekeza katika urasimishaji kwa kuwa tayari makosa yalishafanyika hivyo urasimishaji ni kujisahisha, pia kwa Mkoa wa Dar es Salaam katika utalii ni lazima kuweka mikakati ya maksudi kwenye utalii wa fukwe na Hotel kwa kuwa wageni wengi hutembelea mkoa huu wa kibiashara.

Mwisho katika msafara huo wa kamati ya Bunge kwa upande wa wizara ya Ardhi walikuwepo wataalam wa wizara pamoja na Naibu waziri wa Ardhi, Mhe Pinda lakini pia wataalam wengine wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa akiwemo Katibu Tawala wa Mkoa Dkt Toba Nguvila.


Matangazo

  • MATOKEO YA MTIHANI WA UTAMILIFU (MOCK) MKOA WA DARASA LA SABA - 2024 July 05, 2024
  • KARIBU MAKAMU WA RAIS WA MAREKANI MHE HARRIS KAMALA March 29, 2023
  • KARIBU MWENGE WA UHURU 2023 May 24, 2023
  • Matokeo ya Mtihani wa Mock Mkoa Darasa la Saba - 2020 September 02, 2020
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • RC Chalamila: Miradi 36 yenye Thamani ya Tsh 79,255,160,719.44 Kupitiwa na Mwenge wa Uhuru Dar

    June 01, 2025
  • RC Chalamila Ataka Machinga Kariakoo Kufungua Njia

    May 28, 2025
  • CHALAMILA SERIKALI INATAMBUA NA KUTHAMINI KAZI YA UUGUZI

    May 23, 2025
  • Mchengerwa: Maafisa Habari Hakikisheni Wanachi Wanapata Habari Sahihi

    May 23, 2025
  • Tazama zote

Video

RC Chalamila Azindua Wiki ya Sheria DSM
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
  • Wilaya ya Ilala
  • Wilaya ya Kinondoni
  • Wilaya ya Temeke
  • Wilaya ya Ubungo
  • Wilaya ya Kigamboni

Tovuti Muhimu

  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Ofis ya Rais-Utumishi
  • Wizara ya Elimu
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti Rasmi ya Rais
  • Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa

    Anuani ya Posta: S.L.P. 5429

    Simu ya mezani: +255 22 2203158

    Simu ya mkononi: +255 22 2203156

    Barua pepe: ras@dsm.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki © 2017 - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,haki zote zimehifadhiwa