• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Mkoa  wa Dar es Salaam

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dar es Salaam

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Muundo wa Kiutawala
  • Utawala
    • Seksheni
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Management,Monitoring and Inspection
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu
      • Industry, Trade and Investiment
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Government Communication Unit
  • Wilaya
    • Ilala
    • Kinondoni
    • Temeke
    • Ubungo
    • Kigamboni
  • Halmashauri
    • Jiji
    • Kinondoni MC
    • Temeke MC
    • Ubungo MC
    • Kigamboni MC
  • Fursa za Uwekezaji
    • Muongozo wa Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
    • Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu Mbalimbali
    • Taarifa Mbalimbali
    • Fomu ya Ahadi ya Uadilifu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
      • Bofya hapa
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio

RC Chalamila Akabidhi Viti Mwendo 84 kwa wenye Uhitaji DSM

Posted on: January 26th, 2024

 

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila leo Januari 26,2024 amekabidhi viti mwendo (Wheel chairs) 84 kwa watu wenye ulemavu katika Ofisi za KC Salasala Wilaya ya Kinondoni Jijini Dar es Salaam.

RC Chalamila amemshukuru Mkurugenzi Mtendaji wa KC Ndg Chris Lukosi kwa kutoa Viti mwendo hivyo na kuahidi kuendelea kutoa Viti kwa wenye ulemavu hususani DSM kufuatia ombi lake, "Matajiri ni wengi lakini kutoa ni moyo hivyo tuendelee kumuombea kwa mwenyezi Mungu Ndg Chris Lukosi ampe afya njema" Alisema RC Chalamila

Aidha RC Chalamila amekemea vikali vitendo vya baadhi ya watu kuwatumia watu wenye ulemavu kama mtaji tabia hiyo ikome mara moja kuanzia sasa, ulemavu sio ugonjwa wa kulala kitandani Rais amaeshaweka utaratibu mzuri wa kuyawezesha makundi hayo yenye uhitaji na watu wengine waiga mfano wa KC kuyawezesha makundi hayo.

Kwa upande wa Mkurugenzi Mtendaji wa KC Ndg Chris Lukosi amemhakikishia Mkuu Mkoa kuendelea kuleta viti mwendo hivyo kwa ajili ya wenye uhitaji kesho tu mzigo mwingine unaingia na utapelekwa moja kwa moja katika ofisi ya Mkuu wa Mkoa ikiwa ni sehemu ya matoleo kwa watu wenye ulemavu.

Ifahamike kuwa Kampuni ya KC inajihusisha na midana ya vitu mbalimbali ikiwemo magari katika Mkoa wa Dar es Salaam Ofisi zake zinapatikana Salasala Wilaya ya Kinondoni


Matangazo

  • MATOKEO YA MTIHANI WA UTAMILIFU (MOCK) MKOA WA DARASA LA SABA - 2024 July 05, 2024
  • KARIBU MAKAMU WA RAIS WA MAREKANI MHE HARRIS KAMALA March 29, 2023
  • KARIBU MWENGE WA UHURU 2023 May 24, 2023
  • Matokeo ya Mtihani wa Mock Mkoa Darasa la Saba - 2020 September 02, 2020
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • RC Chalamila: Miradi 36 yenye Thamani ya Tsh 79,255,160,719.44 Kupitiwa na Mwenge wa Uhuru Dar

    June 01, 2025
  • RC Chalamila Ataka Machinga Kariakoo Kufungua Njia

    May 28, 2025
  • CHALAMILA SERIKALI INATAMBUA NA KUTHAMINI KAZI YA UUGUZI

    May 23, 2025
  • Mchengerwa: Maafisa Habari Hakikisheni Wanachi Wanapata Habari Sahihi

    May 23, 2025
  • Tazama zote

Video

RC Chalamila Azindua Wiki ya Sheria DSM
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
  • Wilaya ya Ilala
  • Wilaya ya Kinondoni
  • Wilaya ya Temeke
  • Wilaya ya Ubungo
  • Wilaya ya Kigamboni

Tovuti Muhimu

  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Ofis ya Rais-Utumishi
  • Wizara ya Elimu
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti Rasmi ya Rais
  • Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa

    Anuani ya Posta: S.L.P. 5429

    Simu ya mezani: +255 22 2203158

    Simu ya mkononi: +255 22 2203156

    Barua pepe: ras@dsm.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki © 2017 - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,haki zote zimehifadhiwa