• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Mkoa  wa Dar es Salaam

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dar es Salaam

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Muundo wa Kiutawala
  • Utawala
    • Seksheni
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Management,Monitoring and Inspection
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu
      • Industry, Trade and Investiment
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Government Communication Unit
  • Wilaya
    • Ilala
    • Kinondoni
    • Temeke
    • Ubungo
    • Kigamboni
  • Halmashauri
    • Jiji
    • Kinondoni MC
    • Temeke MC
    • Ubungo MC
    • Kigamboni MC
  • Fursa za Uwekezaji
    • Muongozo wa Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
    • Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu Mbalimbali
    • Taarifa Mbalimbali
    • Fomu ya Ahadi ya Uadilifu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
      • Bofya hapa
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio

RC Chalamila Akabidhi Vifaa vya Kazi kwa Jeshi la Polisi, Uhamiaji na Zima Moto

Posted on: January 25th, 2024

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila leo Januari 25,2024 amekabidhi Vifaa vya kazi (Pikipiki) kwa Jeshi la Polisi, Uhamiaji na Zimamoto hafla ambayo imefanyika katika kituo cha Kipolisi Kanda maalum (Central Police) Ilala Jijini Dar es Salaam.

RC Chalamila akiongea katika hafla hiyo amemshukuru na kumpongeza Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kwa uongozi wake mahiri hususani katika kuhakikisha Tanzania inakuwa ya amani na salama wakati wote lakini pia nasaa zake kwa viongozi wa mikoa kushirikiana kwa karibuu na Jeshi la polisi katika kudumisha amani.

Aidha RC Chalamila amesema sababu ya kugawa vifaa hivyo ameangalia hali ya usalama kikanda na Mkoa kwa ujumla wake ambapo hali ya usalama imeimarika kwa kiasi kikubwa sana ametoa rai kwa raia wa Tanzania kuwa namba moja katika ulinzi wa Amani kamwe askari asionekane kama adui wa raia bali awe chachu ya kulinda amani.

Sambamba na hilo amelitaka Jeshi la polisi kutoruhusu hata kidogo raia wa aina yeyote akapeleka kidole kwa Askari polisi, Alisisitiza RC Chalamila

Vilevile RC Chalamila  ameahidi kuendelea kuwezesha jeshi la polisi kilichofanyika leo ni rasha rasha tu vikubwa zaidi vinakuja hivyo polisi waendelee kuchapa kazi "Anachokitoa leo amewashirikisha wadau wachache sana kama Bakhesa ametoa pikipiki 10  na Lita tano tano za mafuta na ameahidi kufanya makubwa, Kuhani Musa pikipiki 5 zingine zifuata, Mtume Mwamposa pikipiki 5 zingine zitafuata dhamira yake kabla ya mwezi wa sita tuwe tumefikisha pikipiki hadi kwenye mitaa" Alisema Chalamila

Kwa upande wa Kamanda wa Kanda maalum Jumanne Muliro amemshukuru sana mkuu wa Mkoa na kuahidi kutumia vifaa hivyo kama ilivyokusudiwa

Naye Katibu Tawala wa Mkoa Bi Rehema Madenge ametoa rai kwa Jeshi la polisi kuendelea kufanya kazi kwa weledi, dalili ya mvua ni mawingu vizuri vinakuja hivyo jeshi kuendelea kuchapa kazi.

Mwisho Mhe Albert Chalamila amelipongeza jeshi la polisi kwa kazi nzuri ya kusimamia ulinzi na usalama wakati wa maandamano ya CHADEMA katika Mkoa wa Dar es Salaam.

Matangazo

  • MATOKEO YA MTIHANI WA UTAMILIFU (MOCK) MKOA WA DARASA LA SABA - 2024 July 05, 2024
  • KARIBU MAKAMU WA RAIS WA MAREKANI MHE HARRIS KAMALA March 29, 2023
  • KARIBU MWENGE WA UHURU 2023 May 24, 2023
  • Matokeo ya Mtihani wa Mock Mkoa Darasa la Saba - 2020 September 02, 2020
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • RC Chalamila: Miradi 36 yenye Thamani ya Tsh 79,255,160,719.44 Kupitiwa na Mwenge wa Uhuru Dar

    June 01, 2025
  • RC Chalamila Ataka Machinga Kariakoo Kufungua Njia

    May 28, 2025
  • CHALAMILA SERIKALI INATAMBUA NA KUTHAMINI KAZI YA UUGUZI

    May 23, 2025
  • Mchengerwa: Maafisa Habari Hakikisheni Wanachi Wanapata Habari Sahihi

    May 23, 2025
  • Tazama zote

Video

RC Chalamila Azindua Wiki ya Sheria DSM
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
  • Wilaya ya Ilala
  • Wilaya ya Kinondoni
  • Wilaya ya Temeke
  • Wilaya ya Ubungo
  • Wilaya ya Kigamboni

Tovuti Muhimu

  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Ofis ya Rais-Utumishi
  • Wizara ya Elimu
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti Rasmi ya Rais
  • Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa

    Anuani ya Posta: S.L.P. 5429

    Simu ya mezani: +255 22 2203158

    Simu ya mkononi: +255 22 2203156

    Barua pepe: ras@dsm.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki © 2017 - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,haki zote zimehifadhiwa