• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Mkoa  wa Dar es Salaam

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dar es Salaam

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Muundo wa Kiutawala
  • Utawala
    • Seksheni
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Management,Monitoring and Inspection
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu
      • Industry, Trade and Investiment
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Government Communication Unit
  • Wilaya
    • Ilala
    • Kinondoni
    • Temeke
    • Ubungo
    • Kigamboni
  • Halmashauri
    • Jiji
    • Kinondoni MC
    • Temeke MC
    • Ubungo MC
    • Kigamboni MC
  • Fursa za Uwekezaji
    • Muongozo wa Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
    • Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu Mbalimbali
    • Taarifa Mbalimbali
    • Fomu ya Ahadi ya Uadilifu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
      • Bofya hapa
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio

RC Chalamila Afanya Ziara Chuo Kikuu Cha Kumbukumbu ya Mwl. Nyerere

Posted on: June 3rd, 2024

 

-Akagua ujenzi wa maktaba na ukumbi wa mihadhara.

-Aongea na uongozi wa Chuo pamoja na wanafunzi wa chuo hicho

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila leo Juni 03, 2024 amefanya ziara katika chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere kivukoni - Kigamboni

Akiwa katika viunga vya chuo hicho amekagua maendeleo ya ujenzi wa Maktaba ambayo kukamilika kwake itakuwa na uwezo wa kuchukua wanafunzi zaidi ya 2500 kwa wakati mmoja pamoja na ukumbi wa mihadhara ambao utakuwa na uwezo wa kuchukua watu sio chini ya 1000. ujenzi huo unaendelea ijapokuwa Mhe  Mkuu wa Mkoa hajaridhishwa na Kasi ya ujenzi huo.

Aidha RC Chalamila alipata wasaa wa kuongea na wanafunzi wa chuo hicho ambapo aliwapatia nasaa za kufikia mafanikio " Kila aliyoko hapa anaweza kuwa yoyote Kikubwa ni kuto kata tamaa ondoeni dhana ya unamjua nani" Alisema RC Chalamila.

Vilevile RC Chalamila amepokea kero mbalimbali ambazo wanafunzi wa chuo hicho hukabiliana nazo ikiwemo kupokea kiasi cha pesa cha mkopo pungufu na ilivyo katika makubaliano ambapo ameiagiza bodi ya mikopo kufanyia kazi Changamoto hiyo na apatiwa mrejesho.

Sanjari na hilo RC Chalamila ameahidi kufanyia kazi Changamoto zote alizoelezwa ikiwemo kuonana na Waziri mwenye dhamana ya elimu ili kupata Suluhu za Changamoto hizo.

Kwa upande wa Mkuu wa Chuo hicho Prof Shadrack Mwakalila amesema chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere Pamoja na kutoa fani mbalimbali bado kimeendelea kujikita katika fani za uongozi na maadili na utawala hivyo wanafunzi wanaopita katika chuo hicho wameandaliwa vizuri katika nyanja ya uongozi, maadili na utawala

Mwisho Mhe Albert Chalamila katika ziara hiyo aliambatana na wataalam kutoka Bodi ya Mkopo, Bima ya Afya,na NACTEVET

Matangazo

  • MATOKEO YA MTIHANI WA UTAMILIFU (MOCK) MKOA WA DARASA LA SABA - 2024 July 05, 2024
  • KARIBU MAKAMU WA RAIS WA MAREKANI MHE HARRIS KAMALA March 29, 2023
  • KARIBU MWENGE WA UHURU 2023 May 24, 2023
  • Matokeo ya Mtihani wa Mock Mkoa Darasa la Saba - 2020 September 02, 2020
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • CHALAMILA SERIKALI INATAMBUA NA KUTHAMINI KAZI YA UUGUZI

    May 23, 2025
  • Mchengerwa: Maafisa Habari Hakikisheni Wanachi Wanapata Habari Sahihi

    May 23, 2025
  • RC Chalamila Akabidhi Magari Mapya Mawili (2)-DSM

    May 20, 2025
  • Rais wa Finland Alexander Stubb Atembelea Machinga Complex - DSM

    May 16, 2025
  • Tazama zote

Video

RC Chalamila Azindua Wiki ya Sheria DSM
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
  • Wilaya ya Ilala
  • Wilaya ya Kinondoni
  • Wilaya ya Temeke
  • Wilaya ya Ubungo
  • Wilaya ya Kigamboni

Tovuti Muhimu

  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Ofis ya Rais-Utumishi
  • Wizara ya Elimu
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti Rasmi ya Rais
  • Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa

    Anuani ya Posta: S.L.P. 5429

    Simu ya mezani: +255 22 2203158

    Simu ya mkononi: +255 22 2203156

    Barua pepe: ras@dsm.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki © 2017 - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,haki zote zimehifadhiwa