Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila Agosti 5,2025 ameungana na mamia ya waombolezaji kuaga mwili wa Mzee Peter Partson Makakala Baba mzazi wa Kamishna Mkuu wa Uhamiaji Dkt Anna Makakala ulioagwa katika Kanisa la Anglikana Posta mpya Jijini Dar es Salaam
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa
Anuani ya Posta: S.L.P. 5429
Simu ya mezani: +255 22 2203158
Simu ya mkononi: +255 22 2203156
Barua pepe: ras@dsm.go.tz
Haki Miliki © 2017 - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,haki zote zimehifadhiwa