• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Mkoa  wa Dar es Salaam

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dar es Salaam

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Muundo wa Kiutawala
  • Utawala
    • Seksheni
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Management,Monitoring and Inspection
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu
      • Industry, Trade and Investiment
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Government Communication Unit
  • Wilaya
    • Ilala
    • Kinondoni
    • Temeke
    • Ubungo
    • Kigamboni
  • Halmashauri
    • Jiji
    • Kinondoni MC
    • Temeke MC
    • Ubungo MC
    • Kigamboni MC
  • Fursa za Uwekezaji
    • Muongozo wa Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
    • Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu Mbalimbali
    • Taarifa Mbalimbali
    • Fomu ya Ahadi ya Uadilifu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
      • Bofya hapa
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio

RC Atoa Onyo Uchangishaji wa Michango kwa Wanafunzi Bila Ridhaa ya Mamlaka

Posted on: January 8th, 2024

- Asema wanaofanya hivyo waache maramoja kwani Serikali imeshashugulikia suala Hilo

-Aagiza shule zilizopo "Prime Areas"  kujengwa magorofa yatakayowiana na eneo husika

-Ataka watoto wote waende shule sambamba na kudumisha nidhamu yao

-Ahimiza matumizi ya Science na Technology katika kuwafundisha watoto

- Usafi ni Ajenda ya Kudumu Dar es Salaam

- Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Mhe. Saad Mtambule akiri kupokea maelekezo na kuyafanyia kazi

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Albert Chalamila leo Januari 8, 2024 ametoa ONYO kwa walimu wakuu wa shule kuacha  Mara moja tabia ya  kuchangisha wanafunzi  michango ya madawati na madarasa kwa kuwa Serikali imeshashughulikia miundombinu hiyo

 RC Chalamila ameyasema hayo akiwa Oysterbay Sekondari alipofanya ziara ya kutembelea shule za msingi na sekondari kuona uwasili wa wanafunzi ikiwa leo ni siku ya  kufungua kwa shule hizo

Hata hivyo Mkuu wa Mkoa ameagiza shule zote zilizopo  kwenye  "Prime Areas" kujengwa magorofa ili kuweka uwiano Mzuri wa ghorofa lenyewe na eneo lilipo

Vilevile RC Chalamila amewataka wazazi kuwapeleka watoto wote shule bila ya ubaguzi sambamba na nidhamu kwa watoto kudumishwa kwani watoto ndio Taifa la Kesho

Aidha Mhe. Chalamila ametumia nafasi hiyo kuhimiza matumizi ya "Science na Technology" katika kuwafundisha watoto ambapo amesema kwa sasa waalimu wanafundisha wanafunzi kwa njia ya mtandao

Mwisho kabisa Mkuu wa Mkoa Amehimiza Usafi kuwa Ajenda ya Kudumu kwa wananchi wa Dar es Salaam kwani kwa kufanya hivyo tunaweka Mkoa katika Hali ya Usafi sambamba na kujiepusha na magonjwa mbalimbali Kama vile kipindupindu, homa za matumbo na kuhara hivyo amewataka watendaji na kata kuizingatia Ajenda hiyo

Kwa upande wa Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Mhe. Saad Mtambule amekiri kupokea maagizo yote na kuahidi kuyafanyia kazi

#Ikumbukwe kuwa Maandalizi yote yameandaliwa vema na wanafunzi hitajika wanaendelea kuripoti mashuleni ishara ya kuonyesha kuwa wazazi wanaridhishwa na miundombinu pamoja na ubora wa elimu inayotolewaR

Matangazo

  • MATOKEO YA MTIHANI WA UTAMILIFU (MOCK) MKOA WA DARASA LA SABA - 2024 July 05, 2024
  • KARIBU MAKAMU WA RAIS WA MAREKANI MHE HARRIS KAMALA March 29, 2023
  • KARIBU MWENGE WA UHURU 2023 May 24, 2023
  • Matokeo ya Mtihani wa Mock Mkoa Darasa la Saba - 2020 September 02, 2020
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • Temeke Yang'ara Mwenge wa Uhuru 2025

    June 02, 2025
  • RC Chalamila: Miradi 36 yenye Thamani ya Tsh 79,255,160,719.44 Kupitiwa na Mwenge wa Uhuru Dar

    June 01, 2025
  • RC Chalamila Ataka Machinga Kariakoo Kufungua Njia

    May 28, 2025
  • CHALAMILA SERIKALI INATAMBUA NA KUTHAMINI KAZI YA UUGUZI

    May 23, 2025
  • Tazama zote

Video

RC Chalamila Azindua Wiki ya Sheria DSM
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
  • Wilaya ya Ilala
  • Wilaya ya Kinondoni
  • Wilaya ya Temeke
  • Wilaya ya Ubungo
  • Wilaya ya Kigamboni

Tovuti Muhimu

  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Ofis ya Rais-Utumishi
  • Wizara ya Elimu
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti Rasmi ya Rais
  • Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa

    Anuani ya Posta: S.L.P. 5429

    Simu ya mezani: +255 22 2203158

    Simu ya mkononi: +255 22 2203156

    Barua pepe: ras@dsm.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki © 2017 - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,haki zote zimehifadhiwa