• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Mkoa  wa Dar es Salaam

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dar es Salaam

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Muundo wa Kiutawala
  • Utawala
    • Seksheni
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Management,Monitoring and Inspection
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu
      • Industry, Trade and Investiment
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Government Communication Unit
  • Wilaya
    • Ilala
    • Kinondoni
    • Temeke
    • Ubungo
    • Kigamboni
  • Halmashauri
    • Jiji
    • Kinondoni MC
    • Temeke MC
    • Ubungo MC
    • Kigamboni MC
  • Fursa za Uwekezaji
    • Muongozo wa Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
    • Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu Mbalimbali
    • Taarifa Mbalimbali
    • Fomu ya Ahadi ya Uadilifu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
      • Bofya hapa
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio

MAELFU YA WAKAZI WA DAR WATUMIA IPASAVYO FURSA YA RC MAKONDA YA UPIMAJI NA MATIBABU BURE NDANI YA MELI YA CHINA

Posted on: November 21st, 2017


Maelfu ya Wananchi wa Dar es Salaam Leo wamejitokeza kwa wingi kuchangamkia fursa ya Upimaji na Matibabu Bure ndani ya Meli ya Jeshi la Jamuhuri ya China ambapo katika hali isiyotarajiwa Wananchi kutoka Mikoani na Nje ya Jumuiya ya Africa Mashariki wamesafiri kuja kufuata huduma hiyo.

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. PAUL MAKONDA amewatembelea wananchi hao na kusema kila atakaefika na kupatiwa kadi atapatiwa vipimo, matibabu na dawa Bure na kuwaasa wananchi kutumia vyema fursa hiyo.

RC MAKONDA amesema Madaktari wengine wa China wanaendelea na huduma za matibabu kwenye Hospital za Muhimbili, MOI, Ocean Road, Mwananyamala, Amana na Temeke ili kuhakikisha wanahudumia idadi kubwa ya Wananchi.

Amesema hadi kufikia majira ya mchana tayari Wagonjwa 516 walikuwa wamepimwa na kupatiwa Matibabu jambo linaloonyesha kuwa wananchi wote watapatiwa huduma.

MAKONDA amesema wapo madaktari bingwa maalumu waliobobea kwa kutoa dawa za kichina kwa wale wagonjwa ambao dawa nyingine zimekuwa zikishindwa kutibu.

Amesema lengo ni kuhakikisha hakuna mtu anaepoteza maisha kwa kigezo cha kukosa huduma au kumudu gharama.

Matangazo

  • MATOKEO YA MTIHANI WA UTAMILIFU (MOCK) MKOA WA DARASA LA SABA - 2024 July 05, 2024
  • KARIBU MAKAMU WA RAIS WA MAREKANI MHE HARRIS KAMALA March 29, 2023
  • KARIBU MWENGE WA UHURU 2023 May 24, 2023
  • Matokeo ya Mtihani wa Mock Mkoa Darasa la Saba - 2020 September 02, 2020
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • RC Chalamila Ataka Machinga Kariakoo Kufungua Njia

    May 28, 2025
  • CHALAMILA SERIKALI INATAMBUA NA KUTHAMINI KAZI YA UUGUZI

    May 23, 2025
  • Mchengerwa: Maafisa Habari Hakikisheni Wanachi Wanapata Habari Sahihi

    May 23, 2025
  • RC Chalamila Akabidhi Magari Mapya Mawili (2)-DSM

    May 20, 2025
  • Tazama zote

Video

RC Chalamila Azindua Wiki ya Sheria DSM
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
  • Wilaya ya Ilala
  • Wilaya ya Kinondoni
  • Wilaya ya Temeke
  • Wilaya ya Ubungo
  • Wilaya ya Kigamboni

Tovuti Muhimu

  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Ofis ya Rais-Utumishi
  • Wizara ya Elimu
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti Rasmi ya Rais
  • Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa

    Anuani ya Posta: S.L.P. 5429

    Simu ya mezani: +255 22 2203158

    Simu ya mkononi: +255 22 2203156

    Barua pepe: ras@dsm.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki © 2017 - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,haki zote zimehifadhiwa