
Katibu Tawala wa Mkoa wa Dar es Salaam Ndg Abdul Mhinte leo Novemba 26, 2025 amekututana na Kufanya mazungumzo na wadau kutoka Benki ya CRDB Ofisini kwake Ilala Boma.
Wadau kutoka CRDB ambao Katibu Tawala Mkoa amefanya mazungumzo nao ni Bi Faraja Kaziulaya - Meneja Muandamizi Huduma kwa Serikali, Bw Elikira Nkya - Meneja Biashara Kanda ya Pwani, na Ndg Elia Mapunda - Meneja Mahusiano Huduma kwa Serikali Kanda ya DSM


Ofisi ya Mkuu wa Mkoa
Anuani ya Posta: S.L.P. 5429
Simu ya mezani: +255 22 2203158
Simu ya mkononi: +255 22 2203156
Barua pepe: ras@dsm.go.tz
Haki Miliki © 2017 - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,haki zote zimehifadhiwa