• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Mkoa  wa Dar es Salaam

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dar es Salaam

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Muundo wa Kiutawala
  • Utawala
    • Seksheni
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Management,Monitoring and Inspection
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu
      • Industry, Trade and Investiment
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Government Communication Unit
  • Wilaya
    • Ilala
    • Kinondoni
    • Temeke
    • Ubungo
    • Kigamboni
  • Halmashauri
    • Jiji
    • Kinondoni MC
    • Temeke MC
    • Ubungo MC
    • Kigamboni MC
  • Fursa za Uwekezaji
    • Muongozo wa Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
    • Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu Mbalimbali
    • Taarifa Mbalimbali
    • Fomu ya Ahadi ya Uadilifu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
      • Bofya hapa
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio

Dar Yaendelea Kufanya Vizuri Mbio za Mwenge wa Uhuru 2025

Posted on: June 3rd, 2025

-Miradi yote Wilaya ya Kigamboni yapitishwa na Mwenge wa Uhuru hakuna mradi hata mmoja uliokataliwa.

Mwenge wa Uhuru 2025 unaendelea kukimbizwa katika Mkoa huo ambapo Wilaya  ya Kigamboni miradi 7 yenye thamani 6,743,696,588.37 imepitiwa na Mwenge hakuna mradi uliokataliwa.

Aidha katika miradi hiyo Mwenge wa Uhuru 2025 umetembelea, umekagua, kuweka jiwe la msingi na kuzindua miradi mbalimbali  ya maendeleo kama, Ujenzi wa barabara ya Rombo Bar RC Church km 0.39 na Kivukoni Shule ya msingi km 0.25, Mradi wa kikundi cha vijana Umoja kwanza, Ujenzi wa Kituo cha Afya Mjimwema, Mradi wa Mazingira, Taka ngumu na Nishati safi, Mradi wa usambazaji wa Maji, Ukarabati na Upanuzi ofisi ya Serikali ya Mtaa Mwera, pamoja na Mradi wa Bweni la wanafunzi shule ya Sekondari  Kidete.

Mwenge wa Uhuru 2025 leo Juni 3, 2025 unaendelea Wilaya Ilala ambapo utatembelea, utakagua, kuweka Jiwe la msingi na kuzindua miradi mbalimbali ya maendeleo.

Jitokeze Kushiriki Uchaguzi Mkuu mwaka 2025 kwa Amani na Utulivu

Mwenge wa Uhuru Oyeeeee.....

Matangazo

  • MATOKEO YA MTIHANI WA UTAMILIFU (MOCK) MKOA WA DARASA LA SABA - 2024 July 05, 2024
  • KARIBU MAKAMU WA RAIS WA MAREKANI MHE HARRIS KAMALA March 29, 2023
  • KARIBU MWENGE WA UHURU 2023 May 24, 2023
  • Matokeo ya Mtihani wa Mock Mkoa Darasa la Saba - 2020 September 02, 2020
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • Wilaya ya Ilala Yafanya Vizuri Mwenge wa Uhuru 2025

    June 04, 2025
  • Dar Yaendelea Kufanya Vizuri Mbio za Mwenge wa Uhuru 2025

    June 03, 2025
  • Temeke Yang'ara Mwenge wa Uhuru 2025

    June 02, 2025
  • RC Chalamila: Miradi 36 yenye Thamani ya Tsh 79,255,160,719.44 Kupitiwa na Mwenge wa Uhuru Dar

    June 01, 2025
  • Tazama zote

Video

RC Chalamila Azindua Wiki ya Sheria DSM
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
  • Wilaya ya Ilala
  • Wilaya ya Kinondoni
  • Wilaya ya Temeke
  • Wilaya ya Ubungo
  • Wilaya ya Kigamboni

Tovuti Muhimu

  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Ofis ya Rais-Utumishi
  • Wizara ya Elimu
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti Rasmi ya Rais
  • Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa

    Anuani ya Posta: S.L.P. 5429

    Simu ya mezani: +255 22 2203158

    Simu ya mkononi: +255 22 2203156

    Barua pepe: ras@dsm.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki © 2017 - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,haki zote zimehifadhiwa