Wananchi/wadau wote ambao wanapokea huduma kutoka Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Dar es Salaam wanaweza kutoa maoni/mapendekezo ya kuboresha huduma/kero au malalamiko yanayohusiana na huduma hizo kupitia sanduku la maoni lililopo karibu na mbao za matangazo ndani ya Ofisi ya Mkuu wa Mkoa.
Kero/maoni au mapendekezo hayo yanaweza kuwasilishwa popote pale ndani na nje ya nchi kwa kutumia huduma ya intaneti kwa kupitia tovuti ya Mkoa wa Dar es Salaam kwa anuani ifuatayo malalamiko.
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa
Anuani ya Posta: S.L.P. 5429
Simu ya mezani: +255 22 2203158
Simu ya mkononi: +255 22 2203156
Barua pepe: ras@dsm.go.tz
Haki Miliki © 2017 - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,haki zote zimehifadhiwa