Wizara ya fedha wametoa portal rasmi ya kupata salary slip kwa njia ya mtandao (online) kwa watumishi wa umma
TAARIFA ZINAZOHITAJIKA
>Check number
>Majina yako matatu
>Tarehe ya kuzaliwa
>Vote (kwa mfano 88Z2)
>Subvote (kwa mfano 5007)
>Account namba ya Bank yako
>Salary Scale (utajaza TGTS, TGS, n.k)
>Salary Grade (utajaza B,C,D,E n.k
>Salary Step (utajaza 1,2,3 n.k
UKIFANIKIWA KUSAJILIWA UTAENDA UKURASA UNAOFUATA UKAJAZE
>Namba ya simu
>email address
>Password
UNAWEZA KUANZA KUITUMIA BAADA YA SAA 24
Tembelea link ujisajili
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa
Anuani ya Posta: S.L.P. 5429
Simu ya mezani: +255 22 2203158
Simu ya mkononi: +255 22 2203156
Barua pepe: ras@dsm.go.tz
Haki Miliki © 2017 - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,haki zote zimehifadhiwa