Saturday 21st, December 2024
@Dar es Salaam
Utafiti wa Viashiria na Matokeo ya UKIMWI kwa Mkoa wa Dar es Salaam utahusisha kaya zisizozidi 1,000 kati ya kaya 1,000,000 na unatarajia kuanza tarehe 31 Mei, 2017 na kuendelea kwa wiki zisizozidi tatu. Mbali na upimaji wa UKIMWI, utafiti huu unapima kiwango cha maambukizi ya Kaswende, Homa ya Ini, Uwepo wa Viashiria vya usugu wa dawa, maambukizi mapya ya VVU, kiwango cha VVU mwilini kwa watu wanaoishi na VVU, wastani wa maambukizi ya VVU kwa watu wa rika zote pamoja na wingi wa chembechembe za kinga mwilini.
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa
Anuani ya Posta: S.L.P. 5429
Simu ya mezani: +255 22 2203158
Simu ya mkononi: +255 22 2203156
Barua pepe: ras@dsm.go.tz
Haki Miliki © 2017 - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,haki zote zimehifadhiwa