• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Mkoa  wa Dar es Salaam

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dar es Salaam

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Muundo wa Kiutawala
  • Utawala
    • Seksheni
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Management,Monitoring and Inspection
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu
      • Industry, Trade and Investiment
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Government Communication Unit
  • Wilaya
    • Ilala
    • Kinondoni
    • Temeke
    • Ubungo
    • Kigamboni
  • Halmashauri
    • Jiji
    • Kinondoni MC
    • Temeke MC
    • Ubungo MC
    • Kigamboni MC
  • Fursa za Uwekezaji
    • Muongozo wa Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
    • Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu Mbalimbali
    • Taarifa Mbalimbali
    • Fomu ya Ahadi ya Uadilifu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
      • Bofya hapa
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio

Uvuvi

Utangulizi

Shughuli za Uvuvi hufanyika katika bahari ya Hindi na pia katika mabwawa ya asili na yale yaliochimbwa. Mkoa una jumla ya kilomita 112 za urefu zilizopakana na Bahari ya Hindi ambazo hutumika kwa shughuli hizi za Uvuvi. Hivi sasa kumekuwa na mwitikio mkubwa kwa wananchi katika kujiongezea kipato kwa kufanya shughuli za ufugaji samaki. Katika Mkoa wetu samaki aina ya Kambale na Sato hupendelewa na wafugaji wengi zaidi.

Majukumu ya Mkoa katika sekta ya Uvuvi:

  • Kutoa ushauri na kuhamasisha wavuvi kutumia maarifa ya kisasa(zana bora) ya uvuvi ili kuongeza ufanisi pamoja na mapato
  • Kuelimisha na kuhamasisha wavuvi kuunda vikundi pamoja na SACCOS ili kuwawezesha kupata mikopo
  • Kufanya doria za mara kwa mara ili kupambana na Uvuvi haramu unaotishia Uvuvi endelevu.
  • Kutoa ushauri katika shughuli za ufugaji wa samaki(miundombinu, chakula, magonjwa, masoko na nk)
  • Kukagua na kusimamia Sheria na Kanuni za Uvuvi katika Halmashauri zote katika Mkoa
  • Kukagua Masoko, Viwanda, mabucha na vituo(minada) vya kupokea samaki
  • Kuelimisha wananchi umuhimu wa kupambana na uvuvi haramu na kuwatambua samaki waliovuliwa kwa zana haramu
  • Kuratibu zoezi la Sensa.
  • Kumshauri Katibu Tawala wa Mkoa na Halmashauri juu ya utekelezaji wa sheria za kazi.
  • Kuratibu masuala ya Maafa katika Mkoa.



Ilala
Temeke
Kinondoni
Jumla
Wavuvi
1,083
3,520
2,513
7,116
Vyombo vya uvuvi
222
1,099
1,967
3,288

Idadi ya wavuvi pamoja na vyombo vya Uvuvi


Wilaya
Idadi ya vikundi
Idadi ya SACCOS
Ilala
16
1
Kinondoni
3
1
Temeke
8
3
Jumla
27
5

Vikundi na SACCOS za wavuvi katika Mkoa


Mwaka

Ilala

Temeke

Kinondoni

Uzito (tani)

Sh.

('000')

Uzito (tani)

Sh.

('000')

Uzito (tani)

Sh.

('000')

Uzito (tani)
2010
4,137.7
4,677,889
315.9
12,739.3
4762.05
9,524,100
2011
3,591.7
4,213,574
376.06
18,995.6
4573.05
15,091,057
2012
5,000
6,405,406
417.71
19,479.4
4526.68
16,069,704
2013
5,074.7
6,850,900
385.81
16,549.6
4772.17
10,125,000
2014
4,178.6
8,914,602
535.97
19367.5
4013.12
9,127,023
2015
2,856.6
7,260,733
976.86
21577.67
3995.86
8,989,884

Takwimu za samaki waliovuliwa kwa kipindi cha 2010 - 2015

Matangazo

  • MATOKEO YA MTIHANI WA UTAMILIFU (MOCK) MKOA WA DARASA LA SABA - 2024 July 05, 2024
  • KARIBU MAKAMU WA RAIS WA MAREKANI MHE HARRIS KAMALA March 29, 2023
  • KARIBU MWENGE WA UHURU 2023 May 24, 2023
  • Matokeo ya Mtihani wa Mock Mkoa Darasa la Saba - 2020 September 02, 2020
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • RC Chalamila Ataka Machinga Kariakoo Kufungua Njia

    May 28, 2025
  • CHALAMILA SERIKALI INATAMBUA NA KUTHAMINI KAZI YA UUGUZI

    May 23, 2025
  • Mchengerwa: Maafisa Habari Hakikisheni Wanachi Wanapata Habari Sahihi

    May 23, 2025
  • RC Chalamila Akabidhi Magari Mapya Mawili (2)-DSM

    May 20, 2025
  • Tazama zote

Video

RC Chalamila Azindua Wiki ya Sheria DSM
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
  • Wilaya ya Ilala
  • Wilaya ya Kinondoni
  • Wilaya ya Temeke
  • Wilaya ya Ubungo
  • Wilaya ya Kigamboni

Tovuti Muhimu

  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Ofis ya Rais-Utumishi
  • Wizara ya Elimu
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti Rasmi ya Rais
  • Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa

    Anuani ya Posta: S.L.P. 5429

    Simu ya mezani: +255 22 2203158

    Simu ya mkononi: +255 22 2203156

    Barua pepe: ras@dsm.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki © 2017 - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,haki zote zimehifadhiwa