• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Mkoa  wa Dar es Salaam

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dar es Salaam

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Muundo wa Kiutawala
  • Utawala
    • Seksheni
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Maji
      • Elimu
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
  • Wilaya
    • Ilala
    • Kinondoni
    • Temeke
    • Ubungo
    • Kigamboni
  • Halmashauri
    • Jiji
    • Ilala MC
    • Kinondoni MC
    • Temeke MC
    • Ubungo MC
    • Kigamboni MC
  • Fursa za Uwekezaji
    • Viwanda
    • Biashara
    • Utalii
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
    • Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu Mbalimbali
    • Taarifa Mbalimbali
    • Fomu ya Ahadi ya Uadilifu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio

RC MAKONDA APOKEA TANI 405 ZA NONDO NA MIFUKO 500 YA SARUJI

Posted on: November 10th, 2017


Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mheshimiwa PAUL MAKONDA leo amepokea zaidi ya Tani 405 za Nondo kutoka kiwanda cha AM Steel and Iron Mills Ltd na Mifuko ya Saruji 500 kutoka Mfuko wa Hifadhi ya jamii wa LAPF kwa ajili ya Ujenzi wa Ofisi 402 za Walimu wa Shule za Msingi na Sekondari Dar es Salaam.

Nondo hizo zenye thamani ya zaidi ya Shillingi Million 150 zimetolewa kama utangulizi ambapo Kiwanda hicho kimesema kitatoa Nondo za kujenga ofisi zote 402 za Walimu.

Akipokea Nondo hizo RC MAKONDA ameshukuru kiwanda hicho kwa kuunga Mkono kampeni hiyo inayolenga kurejesha heshima kwa walimu na kuwapa morali ya kufanya kazi ili kuleta matokeo chanya kwa Wanafunzi.

Wakati huo huo Mfuko wa hifadhi ya Jamii LAPF umemkabidhi RC MAKONDA Kiasi cha Shillingi Million 5 kwa ajili ya kununua Mifuko 500 ya Saruji za Ujenzi wa Ofisi za Walimu.

RC MAKONDA amewahimiza Wananchi na wadau kuendelea kuchangia kampeni ya ujenzi wa Ofisi za walimu kupitia Saruji, Kokoto, Mchanga, Nondo Mbao, Milango, Madirisha na Bati ili kufanikisha kampeni hiyo.

Kwa upande wake Mkurugenzi wa Kiwanda hicho Shekh SHAHID SALIM amesema watatoa kiasi chote cha mahitaji ya Nondo zinazohitajika kwa kuwa wanatambua umuhimu wa Walimu na kazi kubwa anayoifanya RC MAKONDA kwenye Mkoa wa Dar es Salaam.

Nae Meneja Masoko na Mawasiliano LAPF Bwana JAMES MLOWE amesema kuwa wameamua kumuunga mkono RC MAKONDA kwa kuwa fedha zinazotolewa kwake zinafanya kazi iliyokusudiwa.

Tayari kasi ya ujenzi wa Ofisi za walimu inaendelea katika Shule mbalimbali jijini Dar es Salaam.

Matangazo

  • Matokeo ya Uchaguzi wa Wanafunzi Waliochaguliwa kujiunga na Kidato cha Kwanza 2021 Shule za Serikali - AWAMU YA PILI January 08, 2021
  • Matokeo ya Uchaguzi wa Wanafunzi Waliochaguliwa Kujiunga na Kidato cha Kwanza 2021 Shule za Sekondari za Serikali December 18, 2020
  • Matokeo ya Mtihani wa Mock Mkoa Darasa la Saba - 2020 September 02, 2020
  • Ratiba ya Mtihani wa Kumaliza Kidato cha Sita (ACSEE) - 2020 June 12, 2020
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • RC Kunenge: Stendi Mpya ya Mabasi ya Mbezi Louis Kuanza Rasmi Novemba 30, Majaribio Novemba 25

    November 09, 2020
  • RC Kunenge Afanya Ziara ya Kushtukiza Usiku wa Manane,Atoa Maagizo Mazito kwa Wakandarasi "Wazembe'

    October 17, 2020
  • Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Akutana na Walimu,Awahakikishia kuwa Serikali Itaendelea Kulipa Malimbikizo Yote Wanayodai

    September 22, 2020
  • RC Kunenge Atembelea Miradi na Kutaka Ikamilike kwaWakati

    September 17, 2020
  • Tazama zote

Video

Kampeni ya Tahadhari Dhidi ya Mafuriko kwa Wanafunzi jijini Dar es Salaam
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
  • Wilaya ya Ilala
  • Wilaya ya Kinondoni
  • Wilaya ya Temeke
  • Wilaya ya Ubungo
  • Wilaya ya Kigamboni

Tovuti Muhimu

  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Ofis ya Rais-Utumishi
  • Wizara ya Elimu
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti Rasmi ya Rais
  • Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa

    Anuani ya Posta: S.L.P. 5429

    Simu ya mezani: +255 22 2203158

    Simu ya mkononi: +255 22 2203156

    Barua pepe: ras@dsm.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki © 2017 - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,haki zote zimehifadhiwa