• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Mkoa  wa Dar es Salaam

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dar es Salaam

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Muundo wa Kiutawala
  • Utawala
    • Seksheni
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Management,Monitoring and Inspection
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu
      • Industry, Trade and Investiment
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Government Communication Unit
  • Wilaya
    • Ilala
    • Kinondoni
    • Temeke
    • Ubungo
    • Kigamboni
  • Halmashauri
    • Jiji
    • Kinondoni MC
    • Temeke MC
    • Ubungo MC
    • Kigamboni MC
  • Fursa za Uwekezaji
    • Muongozo wa Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
    • Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu Mbalimbali
    • Taarifa Mbalimbali
    • Fomu ya Ahadi ya Uadilifu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
      • Bofya hapa
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio

RC Chalamila Ataka Wenyeviti na Watendaji Kata na Mitaa Dar Kusimamia Ulinzi na Usalama

Posted on: July 4th, 2025

Mkuu wa Mkoa wa Dar es alaam Mhe Albert Chalamila amewataka wenyeviti wa Serikali za mitaa pamoja na watendaji wa Kata Mitaa Mkoani humo kusimamia ulinzi na usalama kwenye ngazi ya mitaa na kata ili kuhakikisha Mkoa huo unakua Salama bila uwepo wa matukio ya uvunjifu wa amani wakati wote.

Akizungumza leo jijini Dar es Salaam katika kikao kazi na Wenyeviti, Watendaji wa Kata na mitaa kilichofanyika kwenye ukumbi wa Diamomd Jubilee RC Chalamila amesema suala la ulinzi na usalama linapaswa kuanzia kwenye ngazi ya mitaa na kata hivyo amewataka viongozi hao wa mitaa kusimamia suala hilo kwani katika baadhi ya mitaa kumekua na matukio ya uvunjifu wa amani.

RC Chalamila amewataka viongozi hao ngazi ya Mitaa na Kata kusaidia kutatua changamoto za wananchi na sio wao kuwa ni chanzo cha kuongeza changamoto kwa wananchi ambapo pia ametumia nafasi hiyo kuwataka wenyeviti na watendaji kutambua kuwa mwaka huu ni mwaka wa uchaguzi hivyo waendelee kuhimiza wananchi kuanzia ngazi ya mtaa kushiriki uchaguzi

Aidha RC Chalamila kupitia Kikao kazi hicho amewataka wenyeviti wa mitaa pamoja na watendaji wa mitaa na Kata kuhamasisha wananchi na wafanyabiashara kulipa kodi ili kuwezesha Serikali kuwa na fedha za kutosha  ili kuweza kutekeleza miradi mbalimbali ya maendeleo, kwani Rais Dkt Samia anahitaji fedha ili kuendelea kuleta maendeleo kwa masilahi mapana ya umma

Matangazo

  • MATOKEO YA MTIHANI WA UTAMILIFU (MOCK) MKOA WA DARASA LA SABA - 2024 July 05, 2024
  • KARIBU MAKAMU WA RAIS WA MAREKANI MHE HARRIS KAMALA March 29, 2023
  • KARIBU MWENGE WA UHURU 2023 May 24, 2023
  • Matokeo ya Mtihani wa Mock Mkoa Darasa la Saba - 2020 September 02, 2020
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • RC Chalamila Ataka Wenyeviti na Watendaji Kata na Mitaa Dar Kusimamia Ulinzi na Usalama

    July 04, 2025
  • RC Chalamila Akagua Ujenzi wa Daraja la Kigogo, Mkwajuni na Jangwani

    June 27, 2025
  • RC Chalamila Atembelea na Kukagua Maandalizi ya Maonesho ya Sabasaba 2025

    June 26, 2025
  • RC Chalamila Afungua Kikao Kazi cha TANESCO na Wenyeviti wa Mitaa kutoka Wilaya ya Kinondoni na Ubungo

    June 24, 2025
  • Tazama zote

Video

RC Chalamila Azindua Wiki ya Sheria DSM
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
  • Wilaya ya Ilala
  • Wilaya ya Kinondoni
  • Wilaya ya Temeke
  • Wilaya ya Ubungo
  • Wilaya ya Kigamboni

Tovuti Muhimu

  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Ofis ya Rais-Utumishi
  • Wizara ya Elimu
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti Rasmi ya Rais
  • Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa

    Anuani ya Posta: S.L.P. 5429

    Simu ya mezani: +255 22 2203158

    Simu ya mkononi: +255 22 2203156

    Barua pepe: ras@dsm.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki © 2017 - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,haki zote zimehifadhiwa