• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Mkoa  wa Dar es Salaam

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dar es Salaam

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Muundo wa Kiutawala
  • Utawala
    • Seksheni
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Management,Monitoring and Inspection
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu
      • Industry, Trade and Investiment
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Government Communication Unit
  • Wilaya
    • Ilala
    • Kinondoni
    • Temeke
    • Ubungo
    • Kigamboni
  • Halmashauri
    • Jiji
    • Kinondoni MC
    • Temeke MC
    • Ubungo MC
    • Kigamboni MC
  • Fursa za Uwekezaji
    • Muongozo wa Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
    • Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu Mbalimbali
    • Taarifa Mbalimbali
    • Fomu ya Ahadi ya Uadilifu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
      • Bofya hapa
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio

RC Chalamila Atembelea na Kukagua Maandalizi ya Maonesho ya Sabasaba 2025

Posted on: June 26th, 2025

-Asema maonesho ya SABASABA mwaka huu ni ya tofauti kwa kuwa hadi sasa washiriki zaidi ya 3000 wa ndani na nje wamethibitisha kushiriki.

-Abainisha kuwa maonesho hayo yameandaliwa kisasa na kidijitali zaidi

-Ataka wananchi kutumia fursa zinazotokana na maonesho hayo ya SABASABA 2025.

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila leo Juni 26, 2025 ametembelea na kukagua maandalizi ya maonesho ya SABASABA 2025 Temeke Jijini Dar es Salaam.

Akiwa katika viwanja hivyo vya SABASABA RC Chalamila alipata wasaa wa kusikia taarifa fupi ya maandalizi ya maonyesho hayo kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka hiyo Bi Latifa Khamis na kisha kutembelea mabanda mbalimbali yaliyoko ndani ya viunga vya SABASABA.

RC Chalamila amepongeza maandalizi ya maonesho hayo ambapo amesema hadi sasa tayari washiriki wa ndani na nje zaidi ya 3000 wamethibitisha kushiriki " hii ni fursa muhimu na fahari kwa Taifa letu maonesho hayo licha ya kuwa na faida kiuchumi kusaidia pia kuikuza Tanzania kidiplomasia vilevile kuitangaza nchi yetu" Alisema RC Chalamila

Aidha RC Chalamila amewataka watanzania hususani wakazi wa Dar es Salaam kutumia vizuri fursa za kiuchumi zinazotokana na maonesho ya SABASABA ili kujikwamua kiuchumi

Naye Mkurugenzi Mtendaji wa TanTrade Bi Latifa Khamis amesema maonesho ya mwaka huu ni tofauti na miaka mingine kwa kuwa yameandaliwa kidijitali zaidi kwa kuwa hata wakati wa kuomba ushiriki ilikuwa Online, ukataji Ticket pia mwaka huu mitandao mbalimbali ya simu itatumika kukata tickets vilevile kutakuwa na usafiri wa kuzunguka ndani wa kisasa kabisa ambao utatolewa na shirika la Posta, pia kutakuwa na kijiji cha burudani na kijiji cha michezo hivyo wananchi watarajie mambo mengi mazuri.

Mwisho RC Chalamila ameridhia ombi la usafiri wa mabasi ya Mwendokasi kwa ajili ya kutoa huduma ya usafiri kwa kipindi chote cha maonesho ya SABASABA 2025

Matangazo

  • MATOKEO YA MTIHANI WA UTAMILIFU (MOCK) MKOA WA DARASA LA SABA - 2024 July 05, 2024
  • KARIBU MAKAMU WA RAIS WA MAREKANI MHE HARRIS KAMALA March 29, 2023
  • KARIBU MWENGE WA UHURU 2023 May 24, 2023
  • Matokeo ya Mtihani wa Mock Mkoa Darasa la Saba - 2020 September 02, 2020
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • RC Chalamila Akagua Ujenzi wa Daraja la Kigogo, Mkwajuni na Jangwani

    June 27, 2025
  • RC Chalamila Atembelea na Kukagua Maandalizi ya Maonesho ya Sabasaba 2025

    June 26, 2025
  • RC Chalamila Afungua Kikao Kazi cha TANESCO na Wenyeviti wa Mitaa kutoka Wilaya ya Kinondoni na Ubungo

    June 24, 2025
  • Ukatili Kinara Migogoro inayohitaji Msaada wa Kisheria-Waziri Mkuu

    June 16, 2025
  • Tazama zote

Video

RC Chalamila Azindua Wiki ya Sheria DSM
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
  • Wilaya ya Ilala
  • Wilaya ya Kinondoni
  • Wilaya ya Temeke
  • Wilaya ya Ubungo
  • Wilaya ya Kigamboni

Tovuti Muhimu

  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Ofis ya Rais-Utumishi
  • Wizara ya Elimu
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti Rasmi ya Rais
  • Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa

    Anuani ya Posta: S.L.P. 5429

    Simu ya mezani: +255 22 2203158

    Simu ya mkononi: +255 22 2203156

    Barua pepe: ras@dsm.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki © 2017 - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,haki zote zimehifadhiwa